Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Umetumia kigezo gani kumtunuku hizo sifa!?Wewe sio kama wafuasi wengine, bali wewe ni shabiki unayeufahamu mpira mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetumia kigezo gani kumtunuku hizo sifa!?Wewe sio kama wafuasi wengine, bali wewe ni shabiki unayeufahamu mpira mkuu!
Mi sijaangalia game ila inaonekana coastal walikuwa wana mipango ya muda mrefu na hii mechi, huku Yanga wakiwa wanajiamini zaidi kulingana na record yao ya mwisho waliyokutanaYanga hatustahili kushinda hii Game
Narudia tena
Sasa jiandae kuwa na huzuni🤔What a Game?
To be honest Yanga tukipoteza hii Fainali........I will be happy
kigezo cha kutokuwa shabiki maandazi kwamba ameappreciate uwezo wa wapinzani wao.Umetumia kigezo gani kumtunuku hizo sifa!?
Hata ile ya Geita Gold hawakustahili
Na enzi zangu nilikuwa fundi kweli! Nilikuwa nafunga magoli nikiwa katikati ya uwanja! 😁😁Wewe sio kama wafuasi wengine, bali wewe ni shabiki unayeufahamu mpira mkuu!
Yani we nimekuona kuwa ni shabiki wa Yanga kwenye zile mechi za mwisho mwisho Yanga alizotangaza ubingwaDuuh, hii show ya leo ni kiboko.
Aaawapi🤔Kosito Yunioni bingwa
Ww nitakurudia MzeeYaani yanga akianza kupiga penalty tuu...basi kombe lao
Ila dana dana hazikosi hapo.. Ng'ombe hazeeki maini.Na enzi zangu nilikuwa fundi kweli! Nilikuwa nafunga magoli nikiwa katikati ya uwanja! 😁😁
Ilikuwa ni kawaida sana kufika Taifa kwenye mashindano ya Umitashumta na Umisseta. Ligi za mbuzi, ng'ombe,nk nimecheza sana! Chuoni nako nilikuwa nakimbiza balaa. Sema tu kwa sasa ndiyo hivyo tena, umri umenitupa ☹️