Fainali ya ASFC | Yanga SC 3 (4) - 3 (1) Coastal Union | Uwanja wa Sheikh Amri Abeid | Yanga BINGWA

Fainali ya ASFC | Yanga SC 3 (4) - 3 (1) Coastal Union | Uwanja wa Sheikh Amri Abeid | Yanga BINGWA

Yanga hatustahili kushinda hii Game

Narudia tena
Mi sijaangalia game ila inaonekana coastal walikuwa wana mipango ya muda mrefu na hii mechi, huku Yanga wakiwa wanajiamini zaidi kulingana na record yao ya mwisho waliyokutana

Nadhani Yanga angekuwa anakutana na timu kama Azam au Simba angeianza kuiwekea mikakati hii mechi pamoja na maandalizi ya kiushindani kulingana na uzito

Yanga ni kama walikuja wakiwa wanauhakika, lakini ndio hivyo mipira haitabiliki japo statistics nizakuziheshimu.
 
Wewe sio kama wafuasi wengine, bali wewe ni shabiki unayeufahamu mpira mkuu!
Na enzi zangu nilikuwa fundi kweli! Nilikuwa nafunga magoli nikiwa katikati ya uwanja! 😁😁

Ilikuwa ni kawaida sana kufika Taifa kwenye mashindano ya Umitashumta na Umisseta. Ligi za mbuzi, ng'ombe,nk nimecheza sana! Chuoni nako nilikuwa nakimbiza balaa. Sema tu kwa sasa ndiyo hivyo tena, umri umenitupa ☹️
 
Ila dana dana hazikosi hapo.. Ng'ombe hazeeki maini.
 
Back
Top Bottom