Fainali ya ASFC | Yanga SC 3 (4) - 3 (1) Coastal Union | Uwanja wa Sheikh Amri Abeid | Yanga BINGWA

So far wamejitahidi sana coastal, sikuweza kudhania kama wangefika umbali huu.

Nikilinganisha ile mechi ambayo walipasuka kamba 3 hapa lupaso niliona hii mechi ina3nda kuwa simple sana kwa Yanga.

Ngoja tuone penati zitaamua nini ila mpaka hapa jitihada wamezionesha big up kwao.
 
Muda wa lawama umefika sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…