Fainali ya ASFC | Yanga SC 3 (4) - 3 (1) Coastal Union | Uwanja wa Sheikh Amri Abeid | Yanga BINGWA

Wataalamu wa elimu ya Nyota wanasema Yanga ikicheza tarehe 2, 12, 22 ni ngumu kushinda na Simba akicheza tarehe 8,18, 28 ni ngumu kushinda.
Leo inaonekana uwezo na bahati vyote vilikua upande wa Yanga. Mungu ni mwema.
 
Hii huwa inatokea sana lakini ikiwa ni Kariakoo derby sio kila game ambayo Simba au Yanga wanacheza na timu yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…