Fainali ya ASFC | Yanga SC 3 (4) - 3 (1) Coastal Union | Uwanja wa Sheikh Amri Abeid | Yanga BINGWA

Wataalamu wa elimu ya Nyota wanasema Yanga ikicheza tarehe 2, 12, 22 ni ngumu kushinda na Simba akicheza tarehe 8,18, 28 ni ngumu kushinda.
Leo inaonekana uwezo na bahati vyote vilikua upande wa Yanga. Mungu ni mwema.
 
BABU wa kamati ya UFUNDI WA ROHO MBAYA
uliniambi tulia tulia mjukuu wangu
mitego naitegua naenda NJE
tuko vizuri kwa fitina pia
20220702_164305.jpg
 
Wataalamu wa elimu ya Nyota wanasema Yanga ikicheza tarehe 2, 12, 22 ni ngumu kushinda na Simba akicheza tarehe 8,18, 28 ni ngumu kushinda.
Leo inaonekana uwezo na bahati vyote vilikua upande wa Yanga. Mungu ni mwema.
Hii huwa inatokea sana lakini ikiwa ni Kariakoo derby sio kila game ambayo Simba au Yanga wanacheza na timu yeyote.
 
Back
Top Bottom