Fainali ya ASFC | Yanga SC 3 (4) - 3 (1) Coastal Union | Uwanja wa Sheikh Amri Abeid | Yanga BINGWA

Mchezaji gani mzee ambaue yuko Simba kamzidi unri ronaldo?
Erasto Nyoni 40+, Meddie Kagere 40+, John Bocco 40+,

Au ndiyo unadanganyika na ile miaka ya kwenye pasport?
 
Na ikitokea amefunga ata vibrate kinoma kulipizia kipindi chote alichoshindwa kufunga
Huyo jamaa upepo ulimuwakia tu, haya sasa na leo itakuwa kanyimwa ushirikiano au vipi?
 
Kiukweli huyo sopu kaja na antibiotic ya kufunga midomo watu waliokuwa wamekalili aina fulank ya mchezaji ndio ambaye anategemewa sana kuina akifunga.

Jamaa katia kamba mbili sio jambo dogo kumbuka kwenye hiyo hiyo mechi kuna yule mchezaji ambaye msimu mzima amepewa promo za kutosha

Sopu alichokifanya ni kwamba kupitia mechi hii moja ye anaenda kufanya maajabu ambayo yatamficha huyo gwiji wao.

Sopu I salute you
 
Sio mara ya kwanza kukuona ukimlalamikia Mwamnyento na point zako juu yake huwa ni za kweli, sema tu huwa unashindwa kunyoosha maelezo

Mwamnyeto sio beki wa kutegemea kwenye mechi zenye tension (avarage player), hii beki ukiingia nayo kimataifa hutoki na cleanshit. Usajili wa CB mwingine ni wa muhimu sana.
 
Hahahahahahahaha maramamakeeee sopu huyu ni noumaaa mazeee
 
Hahahahahhaha maramamake na huyo ni huyu, ingekuwa jiki je?
 
Hahahahaha hatrick jambo ambalo kalala hajawahi fanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…