Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Erasto Nyoni 40+, Meddie Kagere 40+, John Bocco 40+,Mchezaji gani mzee ambaue yuko Simba kamzidi unri ronaldo?
Au ndiyo unadanganyika na ile miaka ya kwenye pasport?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Erasto Nyoni 40+, Meddie Kagere 40+, John Bocco 40+,Mchezaji gani mzee ambaue yuko Simba kamzidi unri ronaldo?
Ni matuta tu.Dk 30
Huyo jamaa upepo ulimuwakia tu, haya sasa na leo itakuwa kanyimwa ushirikiano au vipi?Na ikitokea amefunga ata vibrate kinoma kulipizia kipindi chote alichoshindwa kufunga
Wewe ombea tu tulikose! Ila tukilipata, aisee utajuta kuwafahamu wananchi.Sema sio mbaya si tayati mkononi mna jagi mlilo beba juzi.
Au na hili mna mpango wa kulizungusha mji mzima kama mwenge?
Erasto Nyoni 40+, Meddie Kagere 40+, John Bocco 40+,
Au ndiyo unadanganyika na ile miaka ya kwenye pasport?
Kiukweli huyo sopu kaja na antibiotic ya kufunga midomo watu waliokuwa wamekalili aina fulank ya mchezaji ndio ambaye anategemewa sana kuina akifunga.Shida ni kwamba hatuthamini vya kwetu huyo Sopu ni mzuri ila kwakua ni mtanzania basi akienda kwenye team kubwa hizi za kariakoo hawezi kupata muda wa kuvumiliwa kwakua sio mchezaji wa kigeni, dogo wa kitanzania hawezi kudekezwa na kuwekewa matumaini kama jinsi ambavyo wanapewa madogo(wa umri wake) wa nje.
Nikitakiwa kumshauri Sopu, nitamwambia aende Azam kama wametuma ofa.
Huyo VICTOR AKPAN ni player wa maana tu, kama anaweza kuonekana kwenye team kama Coastal basi kwenye team nzuri atafanya vizuri tu, kama SIMBA Sc tumemsajili basi tutakuwa tumelamba dume.
Mkuu upo lakini?🤣Full time
Yanga 3
Wagosi 1
Tunaua yote leo second half niamini
Una vyeti vyao vya kuzaliwa? Au una proof gani kuhusu huo umri ulioandika?Erasto Nyoni 40+, Meddie Kagere 40+, John Bocco 40+,
Au ndiyo unadanganyika na ile miaka ya kwenye pasport?
Na mkikosa kumbuka kero zitaanzia humu mpaka mitaaniWewe ombea tu tulikose! Ila tukilipata, aisee utajuta kuwahamu wananchi.
Nimekuambia utaje miaka yao na sio kutaja size number za viatuErasto Nyoni 40+, Meddie Kagere 40+, John Bocco 40+,
Au ndiyo unadanganyika na ile miaka ya kwenye pasport?
Kasopu kametumaliza kudadekk! 🙉Na mkikosa kumbuka kero zitaanzia humu mpaka mitaani
Sio mara ya kwanza kukuona ukimlalamikia Mwamnyento na point zako juu yake huwa ni za kweli, sema tu huwa unashindwa kunyoosha maelezoTatizo la Mwamnyeto siku zote ni kuzubaa, kujisahau na pia kujiamini kupita kiasi.
Siyo beki ya kazi kazi kama ilivyokuwa kwa mabeki waandamizi wa Yanga, mfano Kelvin Yondani na Nadir Haroub Cannavaro.
Anyway, ngoja tuone itakuwaje. Ila mabeki wameonyesha udhaifu mkubwa kwenye goli la pili.