Fainali ya ASFC | Yanga SC 3 (4) - 3 (1) Coastal Union | Uwanja wa Sheikh Amri Abeid | Yanga BINGWA

Mkuu umemuonaje Akpan?
 
105' za kipindi hiki cha nyongeza ambapo Coastal Union wapo mbele kwa mabao matatu kwa mbili

Yanga SC 2-3 Coastal Union
 
Kosto Yunioni leo wana jambo lao Wananchi tusipojiangalia watatuharibia sherehe za ubingwa wa NBC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…