Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Mkuu umemuonaje Akpan?Ana mwili mzuri! Ila ana mapungufu mengi. Siku zote anafichiwa madhaifu yake na akina Bangala. Wakipotea hao, na yeye anapotea.
Anyway, Coastal wanastahili kuwa mabingwa. Wamecheza mchezo mzuri. Sema ndiyo hivyo tena, hiki kikosi kikiparanganyika, Kimataifa watakuwa ni wasindikizaji tu.