Fainali ya ASFC | Yanga SC 3 (4) - 3 (1) Coastal Union | Uwanja wa Sheikh Amri Abeid | Yanga BINGWA

Hakuna dakika za nyongeza kwenye dakika 30 za nyongeza
 
Sijui ni kwa nini! Ila leo sikuwa kabisa na matumaini ya kuchukua hili kombe.

Mechi ya mwisho na Mtibwa, Yanga ilicheza mchezo wa kawaida sana! Hata ule ushindi wa goli moja, ulikuwa ni wa kubahatisha tu.
 
Nkane Goooooooooooooaaal gooal

Nkane anaweka kambani bao la tatu

Yanga SC 3-3 Coastal Union
 
Sasa mwamnyeto amefundishwa na Mgunda ulitegemea awe na jipya gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…