Fainali ya UEFA inapoteza mvuto

Fainali ya UEFA inapoteza mvuto

Historia...Morale na ubora wa kikosi utaibeba Liverpool....Spurs kama siwaelewielewi wanashukana na kupanda kiwango mechi yeyote ile...hii fainal ni kali kuliko unavyofikiri.
Historia mbaya ya kupoteza fainali Kwa Jürgen Klop itaendelea, Liverpool anatoka mikono mitupu Kwa mara nyingine!

Hifadhi hii comment.
 
Mimi binafsi fainali ya champion ligi ulaya ilikuwa kati ya rivakuku a.k.a kitoweo fc dhid ya barca pale anflied,,, na kwa ushindi ule wakuitoa Messi fc a.k.a bebwabebwa kipindi cha brata,,,ndipo nilipoishia kutazama champion ligi nakufarijika,,,sitazami tena mpaka mwakwni
 
Naomba uitunze hii kumbu kumbu ili tukijaliwa uzima usije kujipiga ban humu JF.

Ole wako uje na ID fake uone chamoto 7bu tumeshajua uandishi wako[emoji57][emoji87]
Historia mbaya ya kupoteza fainali Kwa Jürgen Klop itaendelea, Liverpool anatoka mikono mitupu Kwa mara nyingine!

Hifadhi hii comment.
 
Hata usipoiangalia maisha lazima yaendelee tu, so sikushauri kabisa ujitese bila faida.

Ni sawa na mm sili nguruwe, sinywi bia wala soda lkn haizuii wengine wasinywe wala kula na dunia inasonga mbele tu[emoji851]
Ingerikuwa na mvuto endapo zingekutana final kati ya Barca and Ajax or Barca and Spurs. Sizani kama nitaicheki hii mechi, kiufupi haina mvuto
 
Back
Top Bottom