pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Shabiki wa Ronaldo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Historia mbaya ya kupoteza fainali Kwa Jürgen Klop itaendelea, Liverpool anatoka mikono mitupu Kwa mara nyingine!Historia...Morale na ubora wa kikosi utaibeba Liverpool....Spurs kama siwaelewielewi wanashukana na kupanda kiwango mechi yeyote ile...hii fainal ni kali kuliko unavyofikiri.
Bingwa wa kushinda njaaLiverpool bingwa
Sawa Mkuu...Nimeihifadhi tayari.Historia mbaya ya kupoteza fainali Kwa Jürgen Klop itaendelea, Liverpool anatoka mikono mitupu Kwa mara nyingine!
Hifadhi hii comment.
Waingereza wameiaharibu fainali
Historia mbaya ya kupoteza fainali Kwa Jürgen Klop itaendelea, Liverpool anatoka mikono mitupu Kwa mara nyingine!
Hifadhi hii comment.
Ingerikuwa na mvuto endapo zingekutana final kati ya Barca and Ajax or Barca and Spurs. Sizani kama nitaicheki hii mechi, kiufupi haina mvuto
Historia mbaya ya kupoteza fainali Kwa Jürgen Klop itaendelea, Liverpool anatoka mikono mitupu Kwa mara nyingine!
Hifadhi hii comment.