mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
- Thread starter
- #21
Na ikiwa itaenda kama utabiri wa hapo juu itakuwaje? Nimeshabikia udogoni au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ikiwa itaenda kama utabiri wa hapo juu itakuwaje? Nimeshabikia udogoni au
Liverpool vs BarcaTottenham anamtoa Man City.
Tottenham anatolewa na Juventus.
Liverpool vs Barca ni ngumu.
Kweli msimu huu sio poaAll in all, mkichukua EPL bado nitajisifu kwamba nimewapa competition, haikuwa easy kama last season.
Lawama zaidi nazitupia kwangu droo ya Westham na Leicester.
Kweli msimu huu sio poa
Mimi nawapongeza zaidi Everton maana ndio wamefanya hii hali ya sasa
Liverpool vs Barca
Naona barca wakipata tabu, kwa sababu nyie mnacheza mpira wa speed, hii itawatesa sana barca.
Sioni barca wakivuka , japo mpira ni game plane na how players will perform pia una maajabu yake.
Sent using simu mbovu
Mzee naona bado unatupa pepo chafu pale KatalunyaLiverpool vs Barca
Naona barca wakipata tabu, kwa sababu nyie mnacheza mpira wa speed, hii itawatesa sana barca.
Sioni barca wakivuka , japo mpira ni game plane na how players will perform pia una maajabu yake.
Sent using simu mbovu
Nakumbuka goli la dk za mwisho kabisa ndio likawaokoa, Jamaa kweli wapinzaniEverton hata ile ya kwanza walitaka kuharibu, tulishinda kibahati sana.
Nakumbuka goli la dk za mwisho kabisa ndio likawaokoa, Jamaa kweli wapinzani
Huwa wanatolewa hata akiwepo ndio maana ni miaka minne sasa hajaingia fainaliShida ya Barca ni Messi, maana akishakuwa uwanjani amani inapotea kabisa.
Huwa wanatolewa hata akiwepo ndio maana ni miaka minne sasa hajaingia fainali
Sent using Jamii Forums mobile app
ronaldo kabeba uefa mara tatu katika misimu minneYou can not bet against Messi man. Yaani hata pamoja na kutolewa, huwezi kujiamini kama jamaa akiwepo.
Muda wowote anaharibu sherehe.
Naona maraia hawaelewi point yako wameanza u-teamYou can not bet against Messi man. Yaani hata pamoja na kutolewa, huwezi kujiamini kama jamaa akiwepo.
Muda wowote anaharibu sherehe.
Hahah kama Simba na YangaHalafu kuna washabiki wa Everton wanashangilia kufungwa ile mechi yenu na wao. Ili tu kumkomoa Liverpool.
Naona maraia hawaelewi point yako wameanza u-team
Naona maraia hawaelewi point yako wameanza u-team
Kuna pweza tulimchukua pale feri atabiri bhc katabir fainali ni ajax vs totenham ..na kiuhalisia ni kweli itakua ivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
IndeedHatuwezi wote kuona katika mtazamo sawa, ila mimi kiukweli najua Messi hakabiki, anaweza kujikaba mwenyewe tu.
Kwa zaidi ya miaka 10, hakuna beki anayeweza kujisifu kwamba amefanikiwa kupata mbinu ya kumakaba Messi.
Hahah! na obvious wakipita robo lazima wakutane nusu sasa sijui fanal watafikaje wote labda Pweza alitabiri nusu fainaliHuyo pweza atakuwa ana mtindio wa ubongo.
Hao watu kama ikitokea wakapita watakutana Nusu Fainali. Sasa wataendaje!
Hahah! na obvious wakipita robo lazima wakutane nusu sasa sijui fanal watafikaje wote labda Pweza alitabiri nusu fainali