Fainali ya UEFA ni Liverpool Vs Manchester City

Fainali ya UEFA ni Liverpool Vs Manchester City

Tottenham anamtoa Man City.

Tottenham anatolewa na Juventus.

Liverpool vs Barca ni ngumu.
Liverpool vs Barca
Naona barca wakipata tabu, kwa sababu nyie mnacheza mpira wa speed, hii itawatesa sana barca.
Sioni barca wakivuka , japo mpira ni game plane na how players will perform pia una maajabu yake.

Sent using simu mbovu
 
All in all, mkichukua EPL bado nitajisifu kwamba nimewapa competition, haikuwa easy kama last season.

Lawama zaidi nazitupia kwangu droo ya Westham na Leicester.
Kweli msimu huu sio poa

Mimi nawapongeza zaidi Everton maana ndio wamefanya hii hali ya sasa
 
Liverpool vs Barca
Naona barca wakipata tabu, kwa sababu nyie mnacheza mpira wa speed, hii itawatesa sana barca.
Sioni barca wakivuka , japo mpira ni game plane na how players will perform pia una maajabu yake.

Sent using simu mbovu
Mzee naona bado unatupa pepo chafu pale Katalunya
 
Naona maraia hawaelewi point yako wameanza u-team
Naona maraia hawaelewi point yako wameanza u-team

Hatuwezi wote kuona katika mtazamo sawa, ila mimi kiukweli najua Messi hakabiki, anaweza kujikaba mwenyewe tu.

Kwa zaidi ya miaka 10, hakuna beki anayeweza kujisifu kwamba amefanikiwa kupata mbinu ya kumakaba Messi.
 
In

Indeed

Don't mess up with Messi
 
Huyo pweza atakuwa ana mtindio wa ubongo.

Hao watu kama ikitokea wakapita watakutana Nusu Fainali. Sasa wataendaje!
Hahah! na obvious wakipita robo lazima wakutane nusu sasa sijui fanal watafikaje wote labda Pweza alitabiri nusu fainali
 
Back
Top Bottom