Kuna hali ngumu ya maisha itokanayo na mfumuko mkubwa wa bei ambao serikali imechagua kujiweka pembeni kiaina:
Kama vile haitoshi kuna usumbufu mkubwa barabarani. Zinatakiwa pesa, mengine kama kawaida yetu ni usumbufu tu.
Bahati mbaya ni kuwa ajali zinazotokea wala hazisababishwi na tunayoambiwa ni vyanzo wala zinazosemekana hatua, hazina tija yoyote.
Kwani kama polisi barabarani ndiyo wenye kuzuia ajali watakuwa kila mahali wakati wote?
Kama wao wanazuia ajali kweli si kheri wakawe madereva ili tuokoe maisha?
Nani asiyejua matumizi mabaya ya barabara na hatarishi ya magari ya serikali na taasisi za umma? Magari ya polisi yamo kwenye mkururo huu.
Kwani hata kuna adhabu zozote zinawahusu wababe hao wasiokuwa na haja ya ustaarabu wala kuwajibika?
Ajali barabarani zinaweza kutokomezwa kwa kuwapo kwa elimu ya ustaarabu barabarani kwa watu.
Mengine haya serikali na ijue inajichumia chuki tu, pasipokuwa na tija yoyote.