Faisal aliweza kulipa mil.110 za kuvunja mkataba, anakosaje mil.50?

Yanga wanahofu na atakoenda Feisal wanahisi atenda Simba Sc
 
Hapo Yanga ameshaenda, wamegoma kuvunja mkataba, wanataka fei abakie wamuongezee mkataba na kuboresha maslai, kitu ambacho fei hakitaki, mnataka aende wapi? Kama si CAS
 
Wapo watakao mchangia, ko wee kuwa mpoleeee.
Hata mimi naweza mchangia ila anachofanya ni ubinafsi, tamaa na kutafuta huruma mitandaoni ,kwanini asiitumie hela aliyotaka kuwalipa yanga
 
Huenda hata hizo mil 100 alichangiwa au alikopeshwa, hivyo sio mbaya kuomba msaada.
 
Wanafahamu dhahiri kwenda CAS ni kupoteza pesa..

Hivyo hawako tayari kupata hasara,

Ndio maana wanawachangisha wasakatonge ili ziwe zimepotea za wasakatonge na sio za feisali
Hakika, hakuna kesi hapo
 
Fei ni MHUJUMU, anaihujumu Yanga na soka la Tanzania kwa ujumla.

Hii itamtafuna maisha yake yote na kizazi chake
 
Huhitaji 50M kupeleka kesi CAS. CAS unalipa processing fees tu ambayo ni cheap otherwise CAS ingekua ya players wenye uwezo tu. Msuva katoka CAS juzi juzi wakati alikua hajalipwa miezi na alienda mwenyewe. Huyu feisal anataka achangiwe 50M ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…