cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ndiwooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiwooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa
Ameharibiwa na waliokuwa wanamtaka sasa wamemuacha mpweke anatafuta huruma ya wanamichezo mtandaoniUshakuwa Kerubi wa Takadini?? Anawaharibu kwa kweli Lol.
Mmefikisha shilingi ngapi mpaka sasa....!!Haijalishi ila tutamchangia maadam katumia neno "kutafuta haki yake" akitumia kwenye bia na madem sisi hatujui atajua yeye
Hapo Yanga ameshaenda, wamegoma kuvunja mkataba, wanataka fei abakie wamuongezee mkataba na kuboresha maslai, kitu ambacho fei hakitaki, mnataka aende wapi? Kama si CASKwa Sasa ata Feitoto akienda CAS mpaka shauri lake lipangiwe ma jaji, lianze kusikilizwa, wahusika waletewe ujumbe Ili Kwa maandishi, uwakilishi, au wahusika wafike kwenye usikilizwaji wa shauri,
Haitapungua miezi mitatu.
Najua hii ya kuchangiashana mitandaoni ni kutafuta huruma tu kwakua aliye nyuma ya hili ni mtu mwenye fedha ndugu Yusufu Bakresa.
Baada ya muda upo uwezekano mkubwa wa kumpatia iyo fedha.
Baada ya kusikilizwa ilo shauri Kuna muda wa kusubiri hukumu nao haupungui wiki mbili mpaka mwezi kwakua alisikilizwi swala la Feisal pekeyake, uwa yanafika mpaka mashauri kumi tofauti Kwa wakati mmoja.
Mpaka swala lake liishe itakua mwakani na itategemea uharaka wa kulipeleka CAS na kama ameshinda au ameshindwa.
Kama angekwenda Yanga upo uwezekano mkubwa swala lake lingeisha ndani ya wiki Moja.
Kupanga ni kuchagua, kiburi Cha Fei kinaletwa na Yusufu Bakresa.
Ameenda lini!? Unaweza weka ushahidi!?Hapo Yanga ameshaenda, wamegoma kuvunja mkataba, wanataka fei abakie wamuongezee mkataba na kuboresha maslai, kitu ambacho fei hakitaki, mnataka aende wapi? Kama si CAS
Wapo watakao mchangia, ko wee kuwa mpoleeee.Ameharibiwa na waliokuwa wanamtaka sasa wamemuacha mpweke anatafuta huruma ya wanamichezo mtandaoni
Hata mimi naweza mchangia ila anachofanya ni ubinafsi, tamaa na kutafuta huruma mitandaoni ,kwanini asiitumie hela aliyotaka kuwalipa yangaWapo watakao mchangia, ko wee kuwa mpoleeee.
Huenda hata hizo mil 100 alichangiwa au alikopeshwa, hivyo sio mbaya kuomba msaada.Eti wadau mi sielewi sijui Faisal anatuchukuliaje wenzake. Km aliweza kulipa zaida ya mil 100 ili avunje mkataba wake sasa anakosaje mil.50? Hii taarifa ni changanya bwege.Wale wale waliompa ile mil.110 ndo hao hao wanaenda kumlipia CAS. Hii ya kuomba kuchangiwa ni kichaka cha kuonekana Watanzania tumemchangia ila mzigo wote tayari anao. Sisi tuliosoma Cuba tushaelewa.
Akakope huko huko alikokopeshwa au kuchangisha mil 100....asisumbue watuHuenda hata hizo mil 100 alichangiwa au alikopeshwa, hivyo sio mbaya kuomba msaada.
Changeni tu mpigwe, hata uwanja wa Mudi mlichangia mkala za usoTUTAMCHANGIA
ATAKE ASITAKEEEEE TUTAMCHANGIA
MTAKE MSITAKEEEE TUTAMCHANGIA
Changeni tu mpigwe, hata uwanja wa Mudi mlichangia mkala za uso
Mmefikisha shilingi ngapi mpaka sasa....!!
Hakika, hakuna kesi hapoWanafahamu dhahiri kwenda CAS ni kupoteza pesa..
Hivyo hawako tayari kupata hasara,
Ndio maana wanawachangisha wasakatonge ili ziwe zimepotea za wasakatonge na sio za feisali
Wajinga ndio waliwao....Milioni 15