Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Maybe you should spend some time with those people you tend to judge and you will find out that they are not that bad people as you believe. Speaking of her disgusting behavior as you call it,know that there is always a reason behind those behaviors, if those people tell you what they went through in their life you might change your negative opinion of them.
Naona hili jina lina laanaAkili za Faiza wa Mh sometimes hazitofautiana na Faiza wa JF
Hapana bwana! Faizafoxy unamsingizia hapo.Akili za Faiza wa Mh sometimes hazitofautiana na Faiza wa JF
Mmmh, maneno hayoNaona hili jina lina laana
Aseee unakata gogoHehehehe mkuu umenifanya nicheke nkiwa chooni
Nyie mapunguani, hilo janamke lililokosa maadili, lisilojuwa mbichi na mbivu, halina adabu hata ya kustiri tupu zake mnamfananisha na FaizaFoxy wa JF?
Kufanya hivyo ni kuishushia hadhi JF na kujishushia hadhi nyinyi mnaojiita wana JF.
Jitu linajiita "sugu" limeshindwa na hilo gubeli.
Kwanza huyo ***** kakosea sana kumpa jina Faiza (kama hajajipachika mwenyewe hilo jina). Akina Faiza wa ukweli hawawezi kuthubutu kuolewa na watu wazima aka wasiyoenda jando. Hilo limekubuhu ukahaba hata haya halijuwi maana yake nini.
Nipisheni huko.
Haya majina yana uwalakini...............Akili za Faiza wa Mh sometimes hazitofautiana na Faiza wa JF