Faiza afunguka vilivyo kuhusu Sugu kuoa

Faiza afunguka vilivyo kuhusu Sugu kuoa

Maybe you should spend some time with those people you tend to judge and you will find out that they are not that bad people as you believe. Speaking of her disgusting behavior as you call it,know that there is always a reason behind those behaviors, if those people tell you what they went through in their life you might change your negative opinion of them.

I couldn't care less how good a person she is in private. The vulgarities and nonsensical ramblings about her private life she spews on her instagram profile on the daily shows an immature, miserable woman with a serious self-restraint problem.
 
Sitashangaa jamaa akawa anaendelea kupasha kiporo na zilipendwa wake..ndo mapenzi yalivyo sometimes anaweza akakusema vibaya we mkikutana sehemu mnayoijuaa..mnapeana
 
Huyu demu dish limehama uelekeo halishiki channel
 
Daaah! Pole zake sana. Machungu ya kuachwa hadi kamgeukia current affair na kuanza kumnanga. Sasa huku sijui nikupenda kwa dhati au obsession? Mungu amjalie apate wa kumpenda
 
Yaani mtu anashindwa kuwa wife material basi hata kuwa MCHEPUKO material nayo inashindikana?
 
Simple mind thinks Of inheritance, hajui zaidi ya hapo, mwacheni mtandao wa maisha utamfundisha. Mali huja na kutoweka, lazima itunzwe na kuongezewa .
 
Nyie mapunguani, hilo janamke lililokosa maadili, lisilojuwa mbichi na mbivu, halina adabu hata ya kustiri tupu zake mnamfananisha na FaizaFoxy wa JF?

Kufanya hivyo ni kuishushia hadhi JF na kujishushia hadhi nyinyi mnaojiita wana JF.

Jitu linajiita "sugu" limeshindwa na hilo gubeli.

Kwanza huyo ***** kakosea sana kumpa jina Faiza (kama hajajipachika mwenyewe hilo jina). Akina Faiza wa ukweli hawawezi kuthubutu kuolewa na watu wazima aka wasiyoenda jando. Hilo limekubuhu ukahaba hata haya halijuwi maana yake nini.

Nipisheni huko.

yaani sugu kwa yule dada, jina limekosa maana!! mapenzi si mchezo
 
Back
Top Bottom