Faiza Ally afunguka kuwa anampenda sana Sugu kutoka moyoni na hajali kuchekwa kwa kigeugeu chake

Faiza Ally afunguka kuwa anampenda sana Sugu kutoka moyoni na hajali kuchekwa kwa kigeugeu chake

Aiseeee huyu si ndio alisema kuwa yule mheshimiwa muimba matusi ana Kibamia?!
 
Huyo mtoto wa sugu anafanana sana na mama os;
ila huyo faiza loooh, sijui anakula sumu gani.
 
kati ya makosa makubwa aliyoyafanya sugu ni kutembea na huyo mwanamke. na atakuwa anapata kiki yake hadi uzeeni, keshapata mtaji hapo huyo faz.
 
Aliamka katika cku ya ovulation halaf jamaa yake hakumpiga mambo. Lazma aropoke.
 
Back
Top Bottom