PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
amakweli hekima ni njema sana. Sasa wewe unasema unae mwanaume mwingine.
Halafu unakuja na kumwagia mifagio mwanaume mliye achana nae!
Unategemea huyo uliye nae atakuchukulia vp? Mimi nafikiri kuna kamdudu kwenye mapenzi kanacho waingiaga watu mapa wanajitoa ufaham.