Faiza Ally afunguka kuwa anampenda sana Sugu kutoka moyoni na hajali kuchekwa kwa kigeugeu chake

Faiza Ally afunguka kuwa anampenda sana Sugu kutoka moyoni na hajali kuchekwa kwa kigeugeu chake

amakweli hekima ni njema sana. Sasa wewe unasema unae mwanaume mwingine.

Halafu unakuja na kumwagia mifagio mwanaume mliye achana nae!

Unategemea huyo uliye nae atakuchukulia vp? Mimi nafikiri kuna kamdudu kwenye mapenzi kanacho waingiaga watu mapa wanajitoa ufaham.
 
Eti nae kashakua selebuu. Kuwa maarufu hii inji simple sana, unatembea zako tuu uchi kutoka Philips mpaka Mount Meru kesho followers kibao Ig, kesho kutwa yake unafunguliwa thread Jf, tayari..
 
amakweli hekima ni njema sana. Sasa wewe unasema unae mwanaume mwingine.

Halafu unakuja na kumwagia mifagio mwanaume mliye achana nae!

Unategemea huyo uliye nae atakuchukulia vp? Mimi nafikiri kuna kamdudu kwenye mapenzi kanacho waingiaga watu mapa wanajitoa ufaham.
Huyo mwingine inaonekana yupo naye basi tu hana namna kwa kuwa labda hawezi kuishi bila mwanaume
 
Hahahaa
Umejaribu kukwepa lengo

[emoji122] good mi nimekuwa wa 3 kumpa like
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , umefanya vizuri kwa kumuongezea likes

Ila mimi sikuwa na nia hiyo unayofikiria
 
Mxiuuuuuuu...waiii hili lidemu huwaga silielewagi!!...Mara sugu anafira, Mara simpendi...huwa linakunywa bangi hili halivuti[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mxiuuuuuuu...waiii hili lidemu huwaga silielewagi!!...Mara sugu anafira, Mara simpendi...huwa linkunywa bangi hili halivuti[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji120]
Aisee watu mlivyokandamizia hiyo kauli yake ya kuwa Sugu alikuwa anamla ndogo hamjambo
 
Back
Top Bottom