Hivi kati ya faiza na sugu nani alimwacha mwenzieHiii ndo hasara ya kuzaa na wanawake wasiojitambua
Gangster love"ninapoingia club machizi wote vurugu,lakini wanatulia wanaposikia upo na Sugu,kwani wanajua Sugu nae ni mtu wa mavurugu!"
wajifunze kwa majizo japo ameachana na hamisa lkn analea mtoto wake Kama kawaida mpaka baby mama anamsifia mitandaoniHapa sioni hata alichosema kibaya cha msingi Sugu alipe ada kama wanaume wengine wanavyofanya sisi sote tunalipia watoto ada kwanini sugu asijipange amlipie mwanae ada kila siku mwanamke analalamika mambo yale yale pesa ya chakula,malazi,kusuka kweli sugu hajitambui.
Nayajua hayo tena vizuri Sana.Hayajawahi kukukuta. Shida si kutunza mtoto au kufuatilia, hasa hasa anataka ammiliki sugu hapo kutakuwa na usalama la sivyo kila atakalofanya ni bure. Ogopa kuacha mwanamke akiwa bado anakupenda
[emoji106]Ya lini hii! Ni wakati muhafaka wa kuoa vichwa siyo SURA
Faiza hajitambui huyo mtoto anaona ndio kama fimbo ya kumchapia sugu.sawa wameachana lakini inategemea jinsi anavyoomba mahitaji kwa mzazi mwenzie,kama angeonyesha ustaarabu sidhani Sugu angeshindwa kumsaidia malezi ya mtoto.Yeye kila siku kumshambulia kwa maneno mabaya mzazi mwenzie.labda mwenzie nae kaamua kumchunia aone jeuri yake itaishia wapi.Kifupi huyo mwanamke kimeo wala hafai kuwa mke kwa mwanaume yoyote yule mwenyekujitambua.wajifunze kwa majizo japo ameachana na hamisa lkn analea mtoto wake Kama kawaida mpaka baby mama anamsifia mitandaoni
PoleTatizo huyu single mother bado anampenda sugu ila ndio hivyo sugu kasha move on hana time nae,kuna binti nimezaa nae basi hawatofautiani na huyu Faiza ipo siku kichaa kinampanda basi atatuma sms zaid ya 100 uzuri mm nazisoma then sijibu chochote ndio anapagawa kbs...
U can't think beyond chadema..akili yako inawaza chadema siku zote?Chadema ni wataalam wa mambo kama hayo. watampa ushauri mzuri wa namna ya kukabiliana na albadiri za wanawake.
Tatizo mwanamke huyo nae ana kamdomo cha kuongea so muda mwingine ili aongee vizuri ni kumkatia kimrija kile cha matumizi,Hamisa ametulia hata kama walikuwa wanazenguana lkn hakuonesha hio hali kwenye public kama Faiza mara amtukane jamaa,aisee hata kama ni mm na uwezo nnao situmii n'goo ili ajifunzeewajifunze kwa majizo japo ameachana na hamisa lkn analea mtoto wake Kama kawaida mpaka baby mama anamsifia mitandaoni
Asante,ujue ni nin mama chupaki huyo Faiza hana kauli nzuri wakati anafanya mawasiliano na baba mtt wake so jamaa inabidi amwache aone jeuri yake inapoishiaPole
Kuzaa sio kazi,kazi kulea mwana.Sasa kama hana uwezo kwa nini alimpeleka mtoto kwenye shule zenye malipo makubwa hadi zinamshinda.