Faiza Ally aicharukia shule anayosoma mwanae pamoja na Mheshimiwa 'Sugu'

Faiza Ally aicharukia shule anayosoma mwanae pamoja na Mheshimiwa 'Sugu'

Hapa sioni hata alichosema kibaya cha msingi Sugu alipe ada kama wanaume wengine wanavyofanya sisi sote tunalipia watoto ada kwanini sugu asijipange amlipie mwanae ada kila siku mwanamke analalamika mambo yale yale pesa ya chakula,malazi,kusuka kweli sugu hajitambui.
 
wajifunze kwa majizo japo ameachana na hamisa lkn analea mtoto wake Kama kawaida mpaka baby mama anamsifia mitandaoni
 
Hayajawahi kukukuta. Shida si kutunza mtoto au kufuatilia, hasa hasa anataka ammiliki sugu hapo kutakuwa na usalama la sivyo kila atakalofanya ni bure. Ogopa kuacha mwanamke akiwa bado anakupenda
Nayajua hayo tena vizuri Sana.
 
wajifunze kwa majizo japo ameachana na hamisa lkn analea mtoto wake Kama kawaida mpaka baby mama anamsifia mitandaoni
Faiza hajitambui huyo mtoto anaona ndio kama fimbo ya kumchapia sugu.sawa wameachana lakini inategemea jinsi anavyoomba mahitaji kwa mzazi mwenzie,kama angeonyesha ustaarabu sidhani Sugu angeshindwa kumsaidia malezi ya mtoto.Yeye kila siku kumshambulia kwa maneno mabaya mzazi mwenzie.labda mwenzie nae kaamua kumchunia aone jeuri yake itaishia wapi.Kifupi huyo mwanamke kimeo wala hafai kuwa mke kwa mwanaume yoyote yule mwenyekujitambua.
 
Tatizo huyu single mother bado anampenda sugu ila ndio hivyo sugu kasha move on hana time nae,kuna binti nimezaa nae basi hawatofautiani na huyu Faiza ipo siku kichaa kinampanda basi atatuma sms zaid ya 100 uzuri mm nazisoma then sijibu chochote ndio anapagawa kbs...
Pole
 
wajifunze kwa majizo japo ameachana na hamisa lkn analea mtoto wake Kama kawaida mpaka baby mama anamsifia mitandaoni
Tatizo mwanamke huyo nae ana kamdomo cha kuongea so muda mwingine ili aongee vizuri ni kumkatia kimrija kile cha matumizi,Hamisa ametulia hata kama walikuwa wanazenguana lkn hakuonesha hio hali kwenye public kama Faiza mara amtukane jamaa,aisee hata kama ni mm na uwezo nnao situmii n'goo ili ajifunzee
 
Maskini faiza yaani ndiyo anazidi kuharibu sijui hata sababu ilikua nini mpaka kuachana.
 
Sasa huyu wa pili aliyezaa na baba asiyejulikana akifikia mda wa kwenda shule atamcharua nani atume ada?vitu vingine vya kujiongeza ina maana Faiza amekosa hiyo laki au ndo anapenda madrama na Sugu.
 
Back
Top Bottom