Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Sio mrembo.. Alioa SHETANI
....teh hee hee..Tatizo Sugu aliingia mzima mzima alipokaona facebook bila kufanya due deligence
word my cuzooo!Daah usiombe uachwe na mtu ambaye unahisi bila yeye maisha yako ni incomplete. Ashakuwa obsessed na Sugu + mwanamke yeyote atakayekuwa na sugu. Siku atakapokubali ukweli, atakuwa huru sana
Ahsante cuzzo, maana tangu uncle magu aingie sijanywa soda lolword my cuzooo!
kunywa Pepsi kwa mangi bili kwangu!
hhhhaaaahhhaaa!!Ahsante cuzzo, maana tangu uncle magu aingie sijanywa soda lol
Kiongozi, umenichekesha sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Faiza komaa na haki yako mpaka umrejeshe baba watoto..
Watu mnamlaumu bure huyu dada,tulimjua kipindi hajaachwa na Sugu?tafta hata picha zao uone how happy she was,and she covered herself, hizi kuvaa nusu na robo ni stress ya kumkosa a match ya huyo mwanaume,mbaya zaidi ni mzazi mwenzie,dada hadi kusema hadharani hajafanya mchezo zaidi ya mwaka akili almanusra zimruke mana hakitembezi,I see she's actually faithful, Siku Sugu akimrudia utaona atakavotuliaSugu moto chini
Ila Uncle Sugu bora ungepiga punyeto kuliko kula huyu manzi
Ctak kumlaumu huy dada lkn inavoonekana alimpenda sana mwanaume wake, na toka waachane hajawahi pata mwingne km yeye na ndio maana anahangaika sana. Ukimfatiria post zake anaoneka bado anampnda sana ikitokea leo sugu akamrudia bidada yupo tayari.
Watu mnamlaumu bure huyu dada,tulimjua kipindi hajaachwa na Sugu?tafta hata picha zao uone how happy she was,and she covered herself, hizi kuvaa nusu na robo ni stress ya kumkosa a match ya huyo mwanaume,mbaya zaidi ni mzazi mwenzie,dada hadi kusema hadharani hajafanya mchezo zaidi ya mwaka akili almanusra zimruke mana hakitembezi,I see she's actually faithful, Siku Sugu akimrudia utaona atakavotulia
I can imagine unadate na mbunge mkiachana ukidate mtu low life unaonekana maisha yamekushinda aisee, who is better than Sugu to her??naona bado hajampata
Dah, kwa kweli hapa brother alibugi hesabu!Unamaanisha mheshimiwa alikosea kuwa na mahusiano na uyo mrembo