Faiza Ally amfungukia mchumba mpya wa Sugu, adai anahonga mashemeji na mama mkwe

Faiza Ally amfungukia mchumba mpya wa Sugu, adai anahonga mashemeji na mama mkwe

Status
Not open for further replies.
Mi nimependa hivyo vyupi vyake tu, sometimes nawaza hivyo ndio vilivyomfanya Sugu aingie nyama nyama bila kufikiria mara mbili.
 
Daah usiombe uachwe na mtu ambaye unahisi bila yeye maisha yako ni incomplete. Ashakuwa obsessed na Sugu + mwanamke yeyote atakayekuwa na sugu. Siku atakapokubali ukweli, atakuwa huru sana
word my cuzooo!
kunywa Pepsi kwa mangi bili kwangu!
 
Sugu moto chini

Ila Uncle Sugu bora ungepiga punyeto kuliko kula huyu manzi
Watu mnamlaumu bure huyu dada,tulimjua kipindi hajaachwa na Sugu?tafta hata picha zao uone how happy she was,and she covered herself, hizi kuvaa nusu na robo ni stress ya kumkosa a match ya huyo mwanaume,mbaya zaidi ni mzazi mwenzie,dada hadi kusema hadharani hajafanya mchezo zaidi ya mwaka akili almanusra zimruke mana hakitembezi,I see she's actually faithful, Siku Sugu akimrudia utaona atakavotulia
I can imagine unadate na mbunge mkiachana ukidate mtu low life unaonekana maisha yamekushinda aisee, who is better than Sugu to her??naona bado hajampata
 
Ctak kumlaumu huy dada lkn inavoonekana alimpenda sana mwanaume wake, na toka waachane hajawahi pata mwingne km yeye na ndio maana anahangaika sana. Ukimfatiria post zake anaoneka bado anampnda sana ikitokea leo sugu akamrudia bidada yupo tayari.

Sugu alikuwa anampa mikito ya Ki gangster ....anakutana na watu wanaremba lazima akumbuke...
Hivi mwamamume unasikia vipi kuwa na mwanamke ambaye kutwa kucha anamtaja ex wake ...bila kumsahau sugu ..hatapata mwanamume serious ...sugu naye amsaidie kusahau ...maana Amani yake itakuja pale huyu mwanamke akipata mwanamume mpya atakayemsahaulisha

Kwakweli sugu amuonee TU huruma...huyu mwanamke sio Mbaya ..ni Mzuri sema anaongea Sana
 
Watu mnamlaumu bure huyu dada,tulimjua kipindi hajaachwa na Sugu?tafta hata picha zao uone how happy she was,and she covered herself, hizi kuvaa nusu na robo ni stress ya kumkosa a match ya huyo mwanaume,mbaya zaidi ni mzazi mwenzie,dada hadi kusema hadharani hajafanya mchezo zaidi ya mwaka akili almanusra zimruke mana hakitembezi,I see she's actually faithful, Siku Sugu akimrudia utaona atakavotulia
I can imagine unadate na mbunge mkiachana ukidate mtu low life unaonekana maisha yamekushinda aisee, who is better than Sugu to her??naona bado hajampata

Umeandika Kama mwanamke anayejielewa ..ill naona tatizo hapa sio Ubungo ..Bali ni penzi la sugu....na mkakati wa kumrudisha anaufanya offensive ...angeongea na wamama wangemshaurii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom