Faiza Ally ampa ushauri Diamond aachane na vibibi ale bata na dogodogo kwani bado kijana

Faiza Ally ampa ushauri Diamond aachane na vibibi ale bata na dogodogo kwani bado kijana

Huyu bi mkubwa wa kiganda hana shukrani kwanza kaolewa na mtoto pili mwanaume anawapenda watoto wa Ivan kama wa kwake, tatu utata wa mtoto wa mwisho, bi mkubwa amekuwa akiendeleza mahusiano na mumewe kijana anachuna tu. Sasa leo kijana kazaa nje na mama wa mtoto yupo na keshamthibitishia kuwa hamtaki na hata endelea nae, anataka nini? nawaza Hamisa angekuwa hayupo Zari angemfanya mishikaki yule mtoto.
Hivi nyinyi watu mna akili timamu kweli? Diamond aseme mara ngapi kwamba yeye hajaoa ndio wachamba wima mtamuelewa?
Nonsense.
 
Diamond akiendelea na bibi yule hawezi tulia
 
Nyie wanawake hamna lolote ni wivu tu kwa vibibi wenzie usikute lenyewe linafunga sala apate hata middle fingers za huyo jamaa haoni dalili hizo ndo kuwapiga vibibi wenzie majungu
 
Back
Top Bottom