Fedor von Bock
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,321
- 2,157
usain bolt na ronaldo mfano wa kuigwa.....lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nyinyi watu mna akili timamu kweli? Diamond aseme mara ngapi kwamba yeye hajaoa ndio wachamba wima mtamuelewa?Huyu bi mkubwa wa kiganda hana shukrani kwanza kaolewa na mtoto pili mwanaume anawapenda watoto wa Ivan kama wa kwake, tatu utata wa mtoto wa mwisho, bi mkubwa amekuwa akiendeleza mahusiano na mumewe kijana anachuna tu. Sasa leo kijana kazaa nje na mama wa mtoto yupo na keshamthibitishia kuwa hamtaki na hata endelea nae, anataka nini? nawaza Hamisa angekuwa hayupo Zari angemfanya mishikaki yule mtoto.
Hahahaha umenichekesha sana aiseeUkiwa kwenye matatizo na ukashindwa kuyahimiri unaweza pewa ushauri na chizi ukauchukua kabisa....