Faiza Ally ampa ushauri Diamond aachane na vibibi ale bata na dogodogo kwani bado kijana

Faiza Ally ampa ushauri Diamond aachane na vibibi ale bata na dogodogo kwani bado kijana

PRINCE PRIS

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
347
Reaction score
587
01166e0b1b258f0802aed8051f21b8a7.jpg
e900cb42c9d2aa25b2def4137a220551.jpg
 
NA HAO WADOGO NDIO HAO WANOTAKA HELA ZA MATUMIZI LAKI TANO KWA WIKI! AJE WAMPE PRESHA NA KUMUUA BURE! USIMSIKIE HUYO GOLD DIGGER9MCHUNA MABUZI) WEWE ENDELEA NA HUYO ZARI.WASICHANA WETU WENGI HAWAJIELEWI NA ULIMBUKENI KIBAO
 
Yani Faiza saiv ndo katulia😱, sipati picha alivyokua hajatulia😀
 
huu ndio ukweli kijana mdogo kupalamia vibibi wakati wakwake ndio kabisaa yupo form 3 anamsubiri, yeye anasubiri walioliwa asali yote ikaisha tu.
 
huyo faiza ally ndio nani? ana popularity gani,?
 
zamu yake na yeye ya kuachwa
raha ya dunia huwa unalipwa hapahapa
 
Ukiwa kwenye matatizo unaweza kupewa ushauri hata na chizi ukauchukua.....
 
Ukiwa kwenye matatizo na ukashindwa kuyahimiri unaweza pewa ushauri na chizi ukauchukua kabisa....
 
Faiza hana moral authority huyu kutoa ushauri, ...apambane na majanga yake
 
Huyu bi mkubwa wa kiganda hana shukrani kwanza kaolewa na mtoto pili mwanaume anawapenda watoto wa Ivan kama wa kwake, tatu utata wa mtoto wa mwisho, bi mkubwa amekuwa akiendeleza mahusiano na mumewe kijana anachuna tu. Sasa leo kijana kazaa nje na mama wa mtoto yupo na keshamthibitishia kuwa hamtaki na hata endelea nae, anataka nini? nawaza Hamisa angekuwa hayupo Zari angemfanya mishikaki yule mtoto.
 
Back
Top Bottom