Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Kkkkkkkkkkk Aisee umenikumbusha mbali sana hadi mke wa SunguMajina ya faiza ni sheedah na wala sishangai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kkkkkkkkkkk Aisee umenikumbusha mbali sana hadi mke wa SunguMajina ya faiza ni sheedah na wala sishangai
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa kwa hiyo? In Senga voice[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan wabongo tuna shida kubwa sana mtakatifuFaiza yupo sahihi.
Ila bongo ushabiki mwingi.
Mkuu,,hivi unamjua vizuri zari ? ,kama humjui naye ni wale wale tu waonesha matako,,kuna clip yàke mpaka ya papuchimastar wa bongo wako bize kuonyesha matako watapataje mikataba ya maana labda wapate ya kuliwa hayo matakor yao mchewww
Bwana wee hiyo hata mimi namuunga mkono Faiza, tatizo sisi wabongo tuna roho mbaya hatupendani mawivu yametujaa
Hapo unaweza kuona Noel ndo kahusika kumbe kuna msururu wa watu nyuma yeye anatumika tu, huwezi jua kuna wabaya wa mondi, wa hamisa, wa wema yaani watanzania tunachoweza ni majungu na kukomoana
Eti mnasema mastar watanzania hawajiheshimu huyo mganda anajiheshimu kwenye nini wakati na yeye ni wale wale tu.
Ama kweli nimeamini nabii hathaminiwi kwao huko kwao Uganda hana dili yoyote ya maana ila huku kwetu tunamuona malaika na hata aliyemfanya akajulikana kwa wengi sasa wanamtukana eti hana akili mwanamke ndo mwenye akili, angekuwa hana akili angemzalisha watoto wawili
na wewe onyesha yako utapata mkataba kama wakeMkuu,,hivi unamjua vizuri zari ? ,kama humjui naye ni wale wale tu waonesha matako,,kuna clip yàke mpaka ya papuchi
Huna akili,elewa nilichoandika,,mkuu tumia busara unapochangia mada humu sio facebook,,,mimi sipo upande wowote sijapinga huyo zari kupewa hyo deal wala sijamsupport huyo faiza,,,mkuu unaonekana una IQ ndogo sio kosa lakona wewe onyesha yako utapata mkataba kama wake
Kabisa.Alitaka apewe Wema aliyekuwa anachezesha nanilino kwenye bwawa la kuogelea?!!!!
but atleast ana haiba kama mama time hii ukilinganisha na hawa dada zetu kibao, pia tukumbuke Tangazo lilitaka mama, wema jokate sijui nani wanogopa kuzaa bana, duh bora hata madam rita au monalisa lakini hawa sio that much popular time hiiMkuu,,hivi unamjua vizuri zari ? ,kama humjui naye ni wale wale tu waonesha matako,,kuna clip yàke mpaka ya papuchi
Mm nimemuelewa faidha , ina maana kati ya hao ulowataja hakuna anaefaa mpaka akapewa zari?Dada amefanikiwa kuyabrand maisha yake
Amefanikiwa kujiweka high profile...
Binafsi naweza kumfananisha na baadhi ya wadada kama Jokate,nancy,Caroline,klyn na baadhi yao
Wameweza kujipa hadhi fulani hivi.
Mimi na wewe hatujui vigezo walivyohitaji hao wawekezaji.Mm nimemuelewa faidha , ina maana kati ya hao ulowataja hakuna anaefaa mpaka akapewa zari?
Unasema makalio,mbona zari kaonyesha kabisa kitumbua chake kiko kwenye forum za ngono hukoWapate hasira ili wawe na akili,ni kampuni gani inaweza kumpa ubalozi mwanamke asiyejiheshimu?
Lini wamewahi kuona makalio ya Zari yakiwa yanaelea katika maji?
Wamekalia mambo ya kijinga tu,mpaka wanaonekana wa kawaida,kuwapa ubalozi ni kuichafua kampuni au biashara yako.
Mtu pekee ambaye mambo yake pengine anafanya kwaakili ni Jokate Mwegelo,huyu pengine unaweza kumpa ubalozi.
Wanawake mastaa wa kitanzania wengi wao hawajiheshimu na wanaonekana wa kawaida sana!
Deal ya pampas mnataka apewe wema ambae alishakiri kwenye media kua amefanya abortion?Hamna braza mimi nimeshuhudia wabongo maeneo mengi hatuaminiani kama wenzetu.
Nyie mnaongelea kuonesha matako mbona Zari ana mkanda wa ngono kabsaa!
Hakuna cha kujitetea wabongo level ya kupendana badoo.
Sijapata kuona.Unasema makalio,mbona zari kaonyesha kabisa kitumbua chake kiko kwenye forum za ngono huko