Faiza Ally amwaga povu kisa Zari kupata deal Tanzania

Faiza Ally amwaga povu kisa Zari kupata deal Tanzania

mastar wa bongo wako bize kuonyesha matako watapataje mikataba ya maana labda wapate ya kuliwa hayo matakor yao mchewww
Mkuu,,hivi unamjua vizuri zari ? ,kama humjui naye ni wale wale tu waonesha matako,,kuna clip yàke mpaka ya papuchi
 
Bwana wee hiyo hata mimi namuunga mkono Faiza, tatizo sisi wabongo tuna roho mbaya hatupendani mawivu yametujaa

Hapo unaweza kuona Noel ndo kahusika kumbe kuna msururu wa watu nyuma yeye anatumika tu, huwezi jua kuna wabaya wa mondi, wa hamisa, wa wema yaani watanzania tunachoweza ni majungu na kukomoana

Eti mnasema mastar watanzania hawajiheshimu huyo mganda anajiheshimu kwenye nini wakati na yeye ni wale wale tu.

Ama kweli nimeamini nabii hathaminiwi kwao huko kwao Uganda hana dili yoyote ya maana ila huku kwetu tunamuona malaika na hata aliyemfanya akajulikana kwa wengi sasa wanamtukana eti hana akili mwanamke ndo mwenye akili, angekuwa hana akili angemzalisha watoto wawili

Mh kwa kweli Zari anastahil, hao jamaa ni multinational, Zari pia ni multi-national, product ilitaka mama,independent, anaefahamika,anaeweza kuwakilisha na kuwasilisha vizuri bidhaa,maarufu atleast kwa nchi zote za Afrika Mashariki.

Haya twende na mastaa wetu; Wema sepetu; sio mama, hatujui anafanya kazi gani(movie?management anayo?imesajiliwa?), anavuta bangi(oh walisema sigara alivyorudi ccm😀),Diamond&Alikiba hawa sio kina mama, Faiza; hatujui anafanya nini hasa kwa sasa hata yeye hasemi katika blog yake About Faiza, jokate nae anapwaya...

Wangeweza wote tatizo nguvu yao kama brand bado hafifu ukilinganisha na huyo aliepewa vs motives za kampuni.
 
Mkuu,,hivi unamjua vizuri zari ? ,kama humjui naye ni wale wale tu waonesha matako,,kuna clip yàke mpaka ya papuchi
but atleast ana haiba kama mama time hii ukilinganisha na hawa dada zetu kibao, pia tukumbuke Tangazo lilitaka mama, wema jokate sijui nani wanogopa kuzaa bana, duh bora hata madam rita au monalisa lakini hawa sio that much popular time hii
 
Nakuunga mkono faizal na kwa hili nanyi mjitahidi kununua bidhaa zinazo wachagua Wa tz katika kutangaza. Simple mathematics.
 
Dada amefanikiwa kuyabrand maisha yake
Amefanikiwa kujiweka high profile...

Binafsi naweza kumfananisha na baadhi ya wadada kama Jokate,nancy,Caroline,klyn na baadhi yao
Wameweza kujipa hadhi fulani hivi.
Mm nimemuelewa faidha , ina maana kati ya hao ulowataja hakuna anaefaa mpaka akapewa zari?
 
Wapate hasira ili wawe na akili,ni kampuni gani inaweza kumpa ubalozi mwanamke asiyejiheshimu?

Lini wamewahi kuona makalio ya Zari yakiwa yanaelea katika maji?

Wamekalia mambo ya kijinga tu,mpaka wanaonekana wa kawaida,kuwapa ubalozi ni kuichafua kampuni au biashara yako.

Mtu pekee ambaye mambo yake pengine anafanya kwaakili ni Jokate Mwegelo,huyu pengine unaweza kumpa ubalozi.

Wanawake mastaa wa kitanzania wengi wao hawajiheshimu na wanaonekana wa kawaida sana!
Unasema makalio,mbona zari kaonyesha kabisa kitumbua chake kiko kwenye forum za ngono huko
 
Hamna braza mimi nimeshuhudia wabongo maeneo mengi hatuaminiani kama wenzetu.

Nyie mnaongelea kuonesha matako mbona Zari ana mkanda wa ngono kabsaa!
Hakuna cha kujitetea wabongo level ya kupendana badoo.
Deal ya pampas mnataka apewe wema ambae alishakiri kwenye media kua amefanya abortion?

Mnataka apewe huyu faiza mkaa uchi?

Come on guys, when It comes to business we put emotions aside. Balozi ni taswira ya kampuni. Huwezi kukubali taswira ya kampuni ibebwe na mkaa uchi, unless you have no idea what business is!

Kitu kingine ni kujibrand. Angalia zari anavyopost akiwa na wanae, inaonyesha wazi ni mtu wa familia. Sasa mlitaka wapewe hawa Dada zetu wanaopost misambwanda!

Last but not least, wabongo tumelala sana linapokuja suala la kutafuta fursa. Mtu anatoka Uganda, anafanya connections anapata deal, anasign ndo mnakuja kushtuka na kumwaga povu mitandaoni!

Ni bora kujitathmini ni wapi mastaa wetu wanakosea kabla hamjawashambulia hawa wageni wanaopata deals!

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
MaUOTE="Bilionea Asigwa, post: 26434832, member: 55110"]Zari amewekeza kichwani wakati wasanii wetu wamewekeza kwenye "misambwanda" kama kina Wema[/QUOTE]
Huyu binti siku akija kujitambua majuto yatamzika mana stress yake itakua kas ya 4g inasubiri
 
shenzi zake .. msani gani wa kibongo ambaye ni mustarabu kama wema ??? Zari ni mama mzuri mzazi mwema ....
 
Bongo movie kaz yenu kuuza

Papuch maswala ya del muwaachie wagen watu wanaojua wanafanya nn
 
Back
Top Bottom