Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point ni nini? Tatizo hakustahili au tatizo sio mTanzania? Wewe unafikili ni nani alistahili badala yake? As my opinion hizo ni bidhaa za mama na mtoto, Zari ni mzazi na anaweza ku inspire wazazi pia. Hii ni business brother, hivi unatalajia msichana asiyekuwa hata na mtoto akashawishi mama mwenye mtoto kununua products za watoto!, wapi na wapi! Hapo ni suala la marketing sio tu wamemweka ili auze sura, kitendo cha kumtumia Zari watu wengi wataamini hata kina tiffa na nillan wanatumia hizo pampers, kila kitu kina target.Braza am telling you japo umeongea kwa tone ya kuwa na hasira kdogo
Ila wabongo tuna shobo zisizo na msingi
Unadhani hilo jehu (faiza) lina uwezo wa kufikiri basi mkuu. Roho mbaya tu.Juzi diamond uzinduzi wa album yake umedhaminiwa na safari com ya kenya bado wakampa eneo lenye ukubwa wa nusu heka kenya.
Basi ingekuwa hivyo wasanii wakenya nao wangeandamana kwanini mgeni amependelewa wakati kenya kuna wasanii kibao
Dada amefanikiwa kuyabrand maisha yake
Amefanikiwa kujiweka high profile...
Binafsi naweza kumfananisha na baadhi ya wadada kama Jokate,nancy,Caroline,klyn na baadhi yao
Wameweza kujipa hadhi fulani hivi.
Watanzania bwana,mnanyimwa matangazo ya biashara mapovu yanawatoka,huku ninyi wenyewe mnashambuliana kwa wivu wa kijinga tu.sasa wema kafanya kosa gani ktk kufurahia siku yake ya kupumzika pale swimming pool ? Mlitaka achezeshe kichwa au miguu ndo aonekane ? Alikuwa kwenye mapumziko na ana haki ya kujifurahisha kwa namna yoyote ila asivuje sheria,vipi povu linawatoka kiasi hicho ?Alitaka apewe Wema aliyekuwa anachezesha nanilino kwenye bwawa la kuogelea?!!!!
Mbona clip kibao kwny mitandao za huyo mnayemuona anajiheshimu (zari) akishikwa shikwa makalio na zingne za utupu kabisa akijichokonoa k na dildo.MaSTAR wa bongo hususani wakina dada. Heshima yenu imeishusha wenyewe kwa mambo ya kijinga kijinga. Kwa mfano unaweza kuweka deal na Wema Sepetu? YES ni mzuri na anavutia na anafaa kabisa kuwekwa kwenye madeal kama hayo. LAKINI maisha yake yakoje? Je ni mfano mzuri kwa wazazi na watoto. HAPANA uzuri na umbo lake ni bure kwa sababu ya maisha yake ya kihuni kihuni Juzi niliona clip ya Huyu mdada Akiwa swimming pool NILImshangaa sanaaaa na kama ni kweli ni yeye amajiaribia kabisa heshima yake. Wema ni mfano wa warembo wengi ambao wamehangaika kufika hapo walipo lakini maisha yao yanaharibiwa na uhuni uhuni.
Hata tungemtoa mrembo south Africa kwa ajili ya deal kama hilo ni sawa kwa maana maisha ya walembo wetu wanayaweka uchi uchi tu.
Jokate huyuhuyu? Au mwingine?Dada amefanikiwa kuyabrand maisha yake
Amefanikiwa kujiweka high profile...
Binafsi naweza kumfananisha na baadhi ya wadada kama Jokate,nancy,Caroline,klyn na baadhi yao
Wameweza kujipa hadhi fulani hivi.
Diamond amepata deal ya safricom. Ali Kiba alipata deal kwenye campaign za Gavana wa Mombasa Hassan Ali Joho. Kenya hatunashida na east african yeyote apate deali. Bado umebaki kwenye kijiji, mipaka siku hizi ni kama fence ya nyumba yako fungua macho , utajua haujuiBwana wee hiyo hata mimi namuunga mkono Faiza, tatizo sisi wabongo tuna roho mbaya hatupendani mawivu yametujaa
Hapo unaweza kuona Noel ndo kahusika kumbe kuna msururu wa watu nyuma yeye anatumika tu, huwezi jua kuna wabaya wa mondi, wa hamisa, wa wema yaani watanzania tunachoweza ni majungu na kukomoana
Eti mnasema mastar watanzania hawajiheshimu huyo mganda anajiheshimu kwenye nini wakati na yeye ni wale wale tu.
Ama kweli nimeamini nabii hathaminiwi kwao huko kwao Uganda hana dili yoyote ya maana ila huku kwetu tunamuona malaika na hata aliyemfanya akajulikana kwa wengi sasa wanamtukana eti hana akili mwanamke ndo mwenye akili, angekuwa hana akili angemzalisha watoto wawili
Peace be upon you!Diamond amepata deal ya safricom. Ali Kiba alipata deal kwenye campaign za Gavana wa Mombasa Hassan Ali Joho. Kenya hatunashida na east african yeyote apate deali. Bado umebaki kwenye kijiji, mipaka siku hizi ni kama fence ya nyumba yako fungua macho , utajua haujui