Faiza Ally amwaga povu kisa Zari kupata deal Tanzania

Faiza Ally amwaga povu kisa Zari kupata deal Tanzania

Zigomeeni hakuna kununua. Ili wapate adabu. Tanzania mbele na wenye uwezo na serious models wapo mfano Millen Magesse, Klin Mengi, Odemba, Faragha etc
 
Hivi hao the so called mastar wa bongo ustar wao unatokana na nini??
 
Braza am telling you japo umeongea kwa tone ya kuwa na hasira kdogo

Ila wabongo tuna shobo zisizo na msingi
Point ni nini? Tatizo hakustahili au tatizo sio mTanzania? Wewe unafikili ni nani alistahili badala yake? As my opinion hizo ni bidhaa za mama na mtoto, Zari ni mzazi na anaweza ku inspire wazazi pia. Hii ni business brother, hivi unatalajia msichana asiyekuwa hata na mtoto akashawishi mama mwenye mtoto kununua products za watoto!, wapi na wapi! Hapo ni suala la marketing sio tu wamemweka ili auze sura, kitendo cha kumtumia Zari watu wengi wataamini hata kina tiffa na nillan wanatumia hizo pampers, kila kitu kina target.
 
ELIMU
ELIMU
ELIMU

Waachane na siasa tofauti na hapo wacha waendelee kusungua bench
 
Zarina binti Hassan hajapewa hilo deal kwa kigezo cha heshima, naye ni kama wanawake wengine tu ana past zake chafu chafu kibaooooo.

Kuna sababu za msingi nyingi sana za kwanini apewe huo ubalozi. Hii ni biashara ndugu zangu wabongo si hisani!
 
Juzi diamond uzinduzi wa album yake umedhaminiwa na safari com ya kenya bado wakampa eneo lenye ukubwa wa nusu heka kenya.
Basi ingekuwa hivyo wasanii wakenya nao wangeandamana kwanini mgeni amependelewa wakati kenya kuna wasanii kibao
Unadhani hilo jehu (faiza) lina uwezo wa kufikiri basi mkuu. Roho mbaya tu.
 
Dada amefanikiwa kuyabrand maisha yake
Amefanikiwa kujiweka high profile...

Binafsi naweza kumfananisha na baadhi ya wadada kama Jokate,nancy,Caroline,klyn na baadhi yao
Wameweza kujipa hadhi fulani hivi.


Nyota ya zari sio mchezo
 
Ingekua tangazo la kondom za kike alafu wakanyimwa hao mnaowaita ma star wabongo ningeshangaa. Ila mtu hataki Kuzaa then apewe dili la kutangaza pampers. Waende U.V.C.C.M kunafulsa kama aliyopata ●
 
Alitaka apewe Wema aliyekuwa anachezesha nanilino kwenye bwawa la kuogelea?!!!!
Watanzania bwana,mnanyimwa matangazo ya biashara mapovu yanawatoka,huku ninyi wenyewe mnashambuliana kwa wivu wa kijinga tu.sasa wema kafanya kosa gani ktk kufurahia siku yake ya kupumzika pale swimming pool ? Mlitaka achezeshe kichwa au miguu ndo aonekane ? Alikuwa kwenye mapumziko na ana haki ya kujifurahisha kwa namna yoyote ila asivuje sheria,vipi povu linawatoka kiasi hicho ?
Hivi ndo mnataka mpewe matangazo ya biashara kweli wakati ninyi wenyewe kwa wenyewe mnatukanana ? Hivi mtamshawishi nani aje kununua hiyo bidhaa ?
Pendaneni kwanza ninyi wenyewe kwa wenyewe na mengine yatafuata,pengine hilo dili angepewa mbongo bado tu mngelalamika kuwa hafai au hakustahili kwa wivu na chuki mlizokuwa nazo
 
MaSTAR wa bongo hususani wakina dada. Heshima yenu imeishusha wenyewe kwa mambo ya kijinga kijinga. Kwa mfano unaweza kuweka deal na Wema Sepetu? YES ni mzuri na anavutia na anafaa kabisa kuwekwa kwenye madeal kama hayo. LAKINI maisha yake yakoje? Je ni mfano mzuri kwa wazazi na watoto. HAPANA uzuri na umbo lake ni bure kwa sababu ya maisha yake ya kihuni kihuni Juzi niliona clip ya Huyu mdada Akiwa swimming pool NILImshangaa sanaaaa na kama ni kweli ni yeye amajiaribia kabisa heshima yake. Wema ni mfano wa warembo wengi ambao wamehangaika kufika hapo walipo lakini maisha yao yanaharibiwa na uhuni uhuni.

Hata tungemtoa mrembo south Africa kwa ajili ya deal kama hilo ni sawa kwa maana maisha ya walembo wetu wanayaweka uchi uchi tu.
Mbona clip kibao kwny mitandao za huyo mnayemuona anajiheshimu (zari) akishikwa shikwa makalio na zingne za utupu kabisa akijichokonoa k na dildo.
 
Zari ni mwanamke anaye tafuta pesa na anajua anacho kifanya..
Sasa wasanii wa Tanzania wana waza kuonyesha makalio IG na kuchambana....mtu mwenye akili timamu hawezi kutoa dili kwa watanzania Kwa Sababu bado hawa jajitambua bado wao niwa kunani....

Unakuta msanii ana jina kubwa kweli na bado anaishi nyumba za kupanga...MWACHENI ZARI ale hela Mjifunze kile anacho kifanya
 
Dada amefanikiwa kuyabrand maisha yake
Amefanikiwa kujiweka high profile...

Binafsi naweza kumfananisha na baadhi ya wadada kama Jokate,nancy,Caroline,klyn na baadhi yao
Wameweza kujipa hadhi fulani hivi.
Jokate huyuhuyu? Au mwingine?
 
wasanii wa bongo jitasminini kwanza kwann msipewe nyie
lazma kuna tatizo.
acheni kulialia
 
Hiki ni kipimo sahihi kabisa cha kubaini watu gani ndio wenye umaarufu hapa nchini.
 
Kwa style zenu za kuposti misambwanda ya kichina kila siku Instagram acha mnyooshwe tu pambaaf.....
Celebrities wengi wa kibongo ni vilaza tu
 
Mwenye product anataka biashara yake iuze, ikue. Kamchagua.mtu sahihi kabisa. Wanaleta undugu kwenye biashara za watu! Waanzishe zao wapeane hizo deal, mpumbavu kabisa!
 
Wabongo tuna matatizo sana na hatutaendelea kamwe. Mmekatazwa kwani na nyie kua na kampuni zenu na kuwatumia watu mnaowataka?
Tuache makelele watanzania wenzetu wanaopiga kazi nchi za nje nao wakianza kulalamikiwa ndio mtafurahia.

Mnalalamika kutukuza wageni huku vifaa vya kuingilia jf vimetoka kwa wageni hao hao.

Aliyepewa kapewa tu hata iweje haiwez badilika.
 
Bwana wee hiyo hata mimi namuunga mkono Faiza, tatizo sisi wabongo tuna roho mbaya hatupendani mawivu yametujaa

Hapo unaweza kuona Noel ndo kahusika kumbe kuna msururu wa watu nyuma yeye anatumika tu, huwezi jua kuna wabaya wa mondi, wa hamisa, wa wema yaani watanzania tunachoweza ni majungu na kukomoana

Eti mnasema mastar watanzania hawajiheshimu huyo mganda anajiheshimu kwenye nini wakati na yeye ni wale wale tu.

Ama kweli nimeamini nabii hathaminiwi kwao huko kwao Uganda hana dili yoyote ya maana ila huku kwetu tunamuona malaika na hata aliyemfanya akajulikana kwa wengi sasa wanamtukana eti hana akili mwanamke ndo mwenye akili, angekuwa hana akili angemzalisha watoto wawili
Diamond amepata deal ya safricom. Ali Kiba alipata deal kwenye campaign za Gavana wa Mombasa Hassan Ali Joho. Kenya hatunashida na east african yeyote apate deali. Bado umebaki kwenye kijiji, mipaka siku hizi ni kama fence ya nyumba yako fungua macho , utajua haujui
 
Diamond amepata deal ya safricom. Ali Kiba alipata deal kwenye campaign za Gavana wa Mombasa Hassan Ali Joho. Kenya hatunashida na east african yeyote apate deali. Bado umebaki kwenye kijiji, mipaka siku hizi ni kama fence ya nyumba yako fungua macho , utajua haujui
Peace be upon you!
 
Back
Top Bottom