wanaojulikana
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 576
- 901
Acha uboya wewe Nani kakuambia Yule Malaya ni Mke wa sugu?Samahan mkuu mimi najuaga hivyo kwani faiza sugu ni kaka yake?
Huyu Dada huwa hamnazo nilimuona punguani siku ya birthday yake alivaa Pampers hapo ndio nilimtoa thamani kabisahawa dada zetu ifike mahali wajiheshim,huyu ni mama kesho mtoto atakua na kuona vitu kama hivi akiwa kama mzazi atamrekebisha mtoto wake akikosea?
Ni mtoto wake wa kumzaaUsikute mtoto kamwiba huyu,alaf analeta udambwidambwi maana wengne wakijfungua wanabadlshaga mtoto
Mie nadhani mkuu kosa sio kupiga picha, kosa ni kuzirusha mtandaoni! Kila kitu kina kiasi chakeEti siri ya daktari na nani sijui. Kuna watu wakijifungua wanaomba baba awepo na anaingia chumba cha kujifubgulia. Kuna watu wanaomba wachukuliwe video wakijifungua.
Kosa lake nini iwapo kaomba picha zipigwe wakati anajifungua?
Aiyah mkuu.Ni mtoto wake wa kumzaa
Mkuu naomba unitumie PM ,naona mods wameitoa.Mzazi mwenzie na Sugu Motochini katika ubora wake. Uzungu nao changamoto kweli kweli.
Kapost katika page yake ya Instagram
Acha uzwazwa mkuu,faiza noSamahan mkuu mimi najuaga hivyo kwani faiza sugu ni kaka yake?
Unajua mkuu wabongo usipoweka picha wataanza kuomba picha yaan watakusumbua sana aisee