Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

yupo sawa;hata camera zifungwe tu,asije akabadilishiwa mtoto.

Abadilishiwe mtoto ili iweje sasa?
Hivi ma hospitalini huwa kuna watoto wa ziada wa kubadilishwa mara kina mama wajawazito wanapo jifungua?
Na kwa nn uende Hospital ambayo una itilia shaka ya kubadilishiwa mtoto wako?
 
Labda kuangali porn nilipokua teeneger kume ni disturb, lakini hiyo ni picha ya kawaida kabisa. Vitabu vya sayansi vya shule za msingi vina michoro/picha za uchi kabisa, ukiangalia hadi unashtuka
na kama ulijizoesha kutizama porn za mashoga wakipakuliwa nya,ipo siku inaletwa habari ya kulatiwa mtoto wa kiume wa miaka mitano,utatoa kauli kama hiyo.

tusitumie madhaifu yetu kuhalalisha tabia za kishenzi.
 
na kama ulijizoesha kutizama porn za mashoga wakipakuliwa nya,ipo siku inaletwa habari ya kulatiwa mtoto wa kiumi wa miaka mitano,utatoa kauli kama hiyo.

tusitumie madhaifu yetu kuhalalisha tabia za kishenzi.
Ongeza glass mkuu
 
Ustaa unawapa vichaa mabinti na wanawake wa kitanzania. Sugu hapa kudate na huyu mwanamama nadhani alipuliza kwanza cha Arusha ndo akashusha verse zake si kwa akili timamu
 
Ustaa unawapa vichaa mabinti na wanawake wa kitanzania. Sugu hapa kudate na huyu mwanamama nadhani alipuliza kwanza cha Arusha ndo akashusha verse zake si kwa akili timamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ethics za Udaktari/unurse zimeenda wapi?
Hapo hata third stage ya labour haijaisha unapiga picha.
Hakuna mahali panaheshimiwa kama labour hata ndugu haingii sijawahi ona mama na ule uchungu wote akikumbuka simu labour.
Kuna siri nyuma ya hii picha hata kama ni uzungu its too much
 
Kibumbu?![emoji2] [emoji2] habari za kiroka Mkuu!!
 
Babia aibadiriki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…