Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

Hii kitu ipo miaka mingi tu. Ukitaka nenda hospitali private. Za serikali hakuna hayo mambo!
 
akikimba
 
Hii kitu ipo miaka mingi tu. Ukitaka nenda hospitali private. Za serikali hakuna hayo mambo!
Kijana wangu akizaliwa tena kwa oparesheni niliingizwa pale chumbani kukaa karibu na mzazi nusu saa anapigwa visu mi nimeshika mkono nampooza wife ni michozi tu.
Ila kwa wenzetu jamaa nawasifu walisema dk 30 na kweli dk 30 wakanikabidhi kijana nikamwogeshe huku wao wakimalizana na mama.
Niliwavulia kofia.
Bongo sasa
 
Mimi mwanamke sijadhalilishwa maana huo sio mwili wangu. Halafu tangu lini kuzaa kukawa ni udhalilishaji?
Ndio shida ya mlio zaliwa mpiji majohe kujiona ni watoto wa Beverly Hills

Eti tangu lini kuzaa kukawa udhalilishaji nani kasema kuzaa ni udhalilishaji ina maana kwenye hiyo picha hujaona kitu ?

Hebu kamuulize mama yako wakati anajitanua kutoa bichwa lako kama ni sawa kwa walimwengu kumuona akifanya hivyo halafu utuletee majibu hapa
 
Hiyo ilikuwa wapi U.K au??
 
Kwani hao madakitari ndio waliorusha kwenye mtandao?Acheni ku reason kipumbavu
 
Samahan mkuu mimi najuaga hivyo kwani faiza sugu ni kaka yake?
Kazaa na Sugu tu, enzi zile haka kabinti kazuri. Ila kwa sasa siyo mke!

Hizi shule zenu hizi....

Unataka hadi tafsiri ya "mke" upewe na Ommy Sigara????

Shubaaamit.....
 
Ni sahihi kabisa maana hata kwenye wodi za kawaida huruhusiwi kupiga picha bila kibali maalumu
 
Mpaka leo umeshindwa kuonyesha picha ya kibumbu[emoji12]
 
Mimi mwanamke sijadhalilishwa maana huo sio mwili wangu. Halafu tangu lini kuzaa kukawa ni udhalilishaji?
Huo mwili ni reflection yako pia, kila kinachoonekana apo ni sawa na chako uko ulipo
 
Na ndo maana sugu aliachana kwan huyu Ni mchafu wa tabia.

Mwenye akili timamu hawez kupiga pics kama hi Na kuanika kitumbua chake hadharani. Anastahil kuolewa Na mbwa Na siyo mtu mwenye utimamuu

Shame on you

Mods ondoa hi pic

Mizambwa
Inaniuma sana
 
Kuna jambo unaweza jiridhisha kabisa Sio kweli Mbona hapa hata uzi mmoja usingekuwepo. Msiwe vinyonga. Leo hili kesho lile. Hapa Mahali ni Pa kupotezea muda. Ukiona unapaniki sana jua una Frustrations zingine. Na kwa afy yako Heri utulie.
Nani kapanic ndugu yangu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…