Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

Akashtakiwe kwa kosa lipi? Hebu tudadavue na wanasheria watusaidie..

Sheria za makosa ya kusambaza picha za utupu.

Kuudharirisha utu wa mtu (hata kama ni yeye mwenyewe)

Sikumbuki vifungu rasmi vya sheria hizo ila zipo.
 
K ina faida gani zaidi ya kupitisha mkojo ndiyo maana anaianika tu kama utumbo wa taulo
 
Kasema mwenyewe cheki hii

Huyu mwanamke siyo wa sayari dunia.

Kuna mtu anasema kuna aliens (ETs) basi labda masalia yake ndiyo huyu faizaally.

Japo najua na naelewa kuwa hakuna kitu kinaitwa aliens.
 
Alafu acha kudhalilisha watu Kima wewe, tangu Jana umekazana na hii habari mbaya zaidi leo unataka kuaminisha watu wasioelewa kuwa huyu ni mke wa Sugu, tafuta kazi ya kufanya mandazi wewe na sio kukalia majungu na umbea
 
demi


MmMmmmmmmh, hata wewe unauliza swali Kama hilo!?

Hamna namna tena.
Mimi hili suala la mwanamke mmoja kuamua kujidhalilisha mwenyewe halafu mnawajumuisha wanawake wote wamedhalilishwa sikubaliani nalo bana.
Kidume kimoja kiamue kutembeza dyudyu yake hadharani wewe utakuwa umedhalilika? Kila mtu ana mwili wake kama kujidhalilisha ni yeye mwenyewe kwa kweli, mi wala sijadhalilishwa kwa chochote.
 
Hospitali gani kwani. Pengine kazalishwa nyumbani nani anayejua
 
Madaktari hawazalishi, labda sema wakunga na wauguzi.
 
Sheria za makosa ya kusambaza picha za utupu.

Kuudharirisha utu wa mtu (hata kama ni yeye mwenyewe)

Sikumbuki vifungu rasmi vya sheria hizo ila zipo.
Tuelezwe ni sheria ipi hasa maana picha za utupu zimejaa kibao na ni mtu binafsi anasambaza kwa nia ya kujiuza lkn sijawahi kuona wakichukuliwa hatua.
Iweje leo kitendo cha kujifungua kiwe kosa zaidi ya kujiuza?
.
.
Labda kama unazungumzia utamaduni wa kitanzania ambao si lazima kuufata maana si sheria. Picha kama hizo zipo worldwide na tunaziona kila siku hatushtuki.
Binafsi sijaona tatizo ya hiyo picha labda kama kuna sheria yoyote iliyokiukwa ambayo mpk sasa sijaijua. Mtu anieleweshe!
 
Huo mwili ni reflection yako pia, kila kinachoonekana apo ni sawa na chako uko ulipo
Si kweli, kama ni hivyo basi kila binadamu hapa duniani ameshadhalilishwa vya kutosha maana picha za uchi wa jinsia zote zimejaa kila kona.
 
Si kweli, kama ni hivyo basi kila binadamu hapa duniani ameshadhalilishwa vya kutosha maana picha za uchi wa jinsia zote zimejaa kila kona.

Hiyo ndio maana yake, inaitwa kudhalilisha jinsia
 
Uchi upi umeuona hapo ndugu? Angepiga kwa mbele ningeelewa, labda wamedhalilishwa wanawake wengine, sio mimi ndugu. Uchi wake mimi unanihusu nini?.
Kama kuna sheria yoyote imekiukwa nitakubaliana na nyie, kama hakuna basi tunapiga kelele tu zisizokuwa na maana.
 
OK
 
Hiyo ndio maana yake, inaitwa kudhalilisha jinsia
Okay sawa. Lkn binafsi sijaguswa na huo udhalilishaji.
Kama kudhalilishwa wamedhalilishwa ndugu zake,mama yake, kaka zake, na wengine wa karibu yake maana watakuwa wanaona aibu kutazama K ya ndugu yao.
Mimi sijaguswa kwa vyovyote vile maana faiza hanihusu!
 

Haha sawa haina shida. Wengine wameonesha hisia tofauti na yako pia
 
Hata baba mtoto wangu alishuhudia wakati najifungua haina tatizo wanaruhusu.
Na pia niliwahi kushuhudia mdogo wangu anajifungua, niliingia na simu sikukatazwa na nilikuwa naitumia kuwasiliana na watu wananiona. Nilipiga picha za mtoto baada ya kuzaliwa, nyingi tu. Ila mama yake sikumpiga picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…