Ipo Tanzania mkuu. Tembea uone..Hiyo ilikuwa wapi U.K au??
Fafanua vzr..mbona tunaona picha nyingi zimepigwa kwenye wodi za kawaida?Ni sahihi kabisa maana hata kwenye wodi za kawaida huruhusiwi kupiga picha bila kibali maalumu
Tuelezwe ni sheria ipi hasa maana picha za utupu zimejaa kibao na ni mtu binafsi anasambaza kwa nia ya kujiuza lkn sijawahi kuona wakichukuliwa hatua.
Iweje leo kitendo cha kujifungua kiwe kosa zaidi ya kujiuza?
.
.
Labda kama unazungumzia utamaduni wa kitanzania ambao si lazima kuufata maana si sheria. Picha kama hizo zipo worldwide na tunaziona kila siku hatushtuki.
Binafsi sijaona tatizo ya hiyo picha labda kama kuna sheria yoyote iliyokiukwa ambayo mpk sasa sijaijua. Mtu anieleweshe!
Point of correction. Hajajifungua leo....ni kitambo,mwaka huu huu tho
Ila huu udhungu utatutokea puani siku moja..
Nasikia alikuwa anamwomba Faiza tigo ndio ushenzi wa Sugu etyi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tuwekee hapa ushenzi wake
Si kweli unachoongea, labda kama unazungumzia hospitali za kata. Kumbuka kuna hospitali binafsiMimi bado najaribu kujiuliza maswali mengi, mikono ya huyu dada yote imemshikilia mwanae kifuani. Kwa msingi huo hii picha inavyoonekana ilipigwa na muuguzi wa hospitali kwa sababu kule kwenye chumba cha kuzalia haingii hata ndugu wa anayejifungua, hivyo uongozi wa hospitali unapaswa kuwachukulia hatua wauguzi waliokuwa zamu kuhusika na tukio hili.
Toa mfano mmojawapo wa hospitali ambayo chumba cha kujifungulia mama mjamzito anaingia mtu yeyote. Nijuavyo mimi usalama katika vyumba hivi huimarishwa kuepuka wizi wa watoto.Si kweli unachoongea, labda kama unazungumzia hospitali za kata. Kumbuka kuna hospitali binafsi
Wasikulaumu chochote demi, huyo faiza ni chizi umaarufu muacheni tu. Iko siku ataenda kusimama uchi pale askari monumentMnacomplicate sana mambo nyie watu. Kajidhalilisha mwenyewe mimi mniondoe
Lazima mpiga picha aombe kibali na akifanya hivyo bila kibali ni kosa kisheria, pia ni kweli watu wanapiga vizuri picha kwenye ma wodi ila ni uvunjivufu wa sheria na kutofuatilia mambo kwani so rahisi kukuta wahudumu wa hospital wanafuatilia MTU aliyepiga picha, ila unapaswa ujue kuwa ni kosa kisheria kupiga picha kwenye wodi za wagonjwa pasipo kibali maalumu japo zinapigwa tu.Fafanua vzr..mbona tunaona picha nyingi zimepigwa kwenye wodi za kawaida?
Aga khan hospital wanaruhusu. Nilijifungua hapo 2004 na mume aliingia.Toa mfano mmojawapo wa hospitali ambayo chumba cha kujifungulia mama mjamzito anaingia mtu yeyote. Nijuavyo mimi usalama katika vyumba hivi huimarishwa kuepuka wizi wa watoto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uchizi wake utabaki kuwa wake, sisi wengine tusihusishwe.Wasikulaumu chochote demi, huyo faiza ni chizi umaarufu muacheni tu. Iko siku ataenda kusimama uchi pale askari monument
Kwa hiyo huyu Faiza kajifungulia Agakhan au? Make huu ni utamaduni wa kizungu, huku kwetu afrika tukio hili tunajua ni faragha.Aga khan hospital wanaruhusu. Nilijifungua hapo 2004 na mume aliingia.
Na mimi binafsi niliingia wakati mdogo wangu anajifungua, nilishuhudia kila kitu. Anaruhusiwa mtu mmoja wa karibu atakaekuwepo.
Baadhi ya hospitali binafsi wanaruhusu.
Usibishe kitu kama huna uhakika!
Kama hiyo sheria ipo ni sawa lakini makosa ni yao na si yetu, hakuna wodi niliyoingia wameandika hakuna kupiga picha. Hiyo sheria wengi hatuijui.Lazima mpiga picha aombe kibali na akifanya hivyo bila kibali ni kosa kisheria, pia ni kweli watu wanapiga vizuri picha kwenye ma wodi ila ni uvunjivufu wa sheria na kutofuatilia mambo kwani so rahisi kukuta wahudumu wa hospital wanafuatilia MTU aliyepiga picha, ila unapaswa ujue kuwa ni kosa kisheria kupiga picha kwenye wodi za wagonjwa pasipo kibali maalumu japo zinapigwa tu.