Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

Tuelezwe ni sheria ipi hasa maana picha za utupu zimejaa kibao na ni mtu binafsi anasambaza kwa nia ya kujiuza lkn sijawahi kuona wakichukuliwa hatua.
Iweje leo kitendo cha kujifungua kiwe kosa zaidi ya kujiuza?
.
.
Labda kama unazungumzia utamaduni wa kitanzania ambao si lazima kuufata maana si sheria. Picha kama hizo zipo worldwide na tunaziona kila siku hatushtuki.
Binafsi sijaona tatizo ya hiyo picha labda kama kuna sheria yoyote iliyokiukwa ambayo mpk sasa sijaijua. Mtu anieleweshe!

demi,
Mmmmmmmh.
Asante nimekuelwa.
 
Mimi bado najaribu kujiuliza maswali mengi, mikono ya huyu dada yote imemshikilia mwanae kifuani. Kwa msingi huo hii picha inavyoonekana ilipigwa na muuguzi wa hospitali kwa sababu kule kwenye chumba cha kuzalia haingii hata ndugu wa anayejifungua, hivyo uongozi wa hospitali unapaswa kuwachukulia hatua wauguzi waliokuwa zamu kuhusika na tukio hili.
 
Si kweli unachoongea, labda kama unazungumzia hospitali za kata. Kumbuka kuna hospitali binafsi
 
Toa mfano mmojawapo wa hospitali ambayo chumba cha kujifungulia mama mjamzito anaingia mtu yeyote. Nijuavyo mimi usalama katika vyumba hivi huimarishwa kuepuka wizi wa watoto.
 
Fafanua vzr..mbona tunaona picha nyingi zimepigwa kwenye wodi za kawaida?
Lazima mpiga picha aombe kibali na akifanya hivyo bila kibali ni kosa kisheria, pia ni kweli watu wanapiga vizuri picha kwenye ma wodi ila ni uvunjivufu wa sheria na kutofuatilia mambo kwani so rahisi kukuta wahudumu wa hospital wanafuatilia MTU aliyepiga picha, ila unapaswa ujue kuwa ni kosa kisheria kupiga picha kwenye wodi za wagonjwa pasipo kibali maalumu japo zinapigwa tu.
 
Toa mfano mmojawapo wa hospitali ambayo chumba cha kujifungulia mama mjamzito anaingia mtu yeyote. Nijuavyo mimi usalama katika vyumba hivi huimarishwa kuepuka wizi wa watoto.
Aga khan hospital wanaruhusu. Nilijifungua hapo 2004 na mume aliingia.
Na mimi binafsi niliingia wakati mdogo wangu anajifungua, nilishuhudia kila kitu. Anaruhusiwa mtu mmoja wa karibu atakaekuwepo.
Baadhi ya hospitali binafsi wanaruhusu.
Usibishe kitu kama huna uhakika!
 
Wasikulaumu chochote demi, huyo faiza ni chizi umaarufu muacheni tu. Iko siku ataenda kusimama uchi pale askari monument
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uchizi wake utabaki kuwa wake, sisi wengine tusihusishwe.
 
Aga khan hospital wanaruhusu. Nilijifungua hapo 2004 na mume aliingia.
Na mimi binafsi niliingia wakati mdogo wangu anajifungua, nilishuhudia kila kitu. Anaruhusiwa mtu mmoja wa karibu atakaekuwepo.
Baadhi ya hospitali binafsi wanaruhusu.
Usibishe kitu kama huna uhakika!
Kwa hiyo huyu Faiza kajifungulia Agakhan au? Make huu ni utamaduni wa kizungu, huku kwetu afrika tukio hili tunajua ni faragha.
 
Lazima mpiga picha aombe kibali na akifanya hivyo bila kibali ni kosa kisheria, pia ni kweli watu wanapiga vizuri picha kwenye ma wodi ila ni uvunjivufu wa sheria na kutofuatilia mambo kwani so rahisi kukuta wahudumu wa hospital wanafuatilia MTU aliyepiga picha, ila unapaswa ujue kuwa ni kosa kisheria kupiga picha kwenye wodi za wagonjwa pasipo kibali maalumu japo zinapigwa tu.
Kama hiyo sheria ipo ni sawa lakini makosa ni yao na si yetu, hakuna wodi niliyoingia wameandika hakuna kupiga picha. Hiyo sheria wengi hatuijui.
 
Back
Top Bottom