Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje



baada ya kupitia page yake ,naona akilalamika picha yake kuondolewa

huyu shemeji yangu hakika anahitaji msaada
 
Kuna picha zina sambaa mtandaoni zikimuonyesha Faiza Ally akiwa leba anajifungua uchi wa mnyama, kweli hizi picha huenda alizipiga kwa kupenda kwake huyu dada huwa namchukulia kama mentally challenged.

Nimeshtuka nakuogopa kuona Soudy umepost kwenye IG page yako bila kujali maelezo uliyayaambatanisha, angekuwa dada yako au mama yako ungeweza kufanya hivyo au ndio unatafuta umaarufu.

Kitendo hiki ni cha kishetani kinyume na maadili na pengine ni kinyume na sheria na nikikutana na wewe mtaani naweza kukuchukulia sheria mikononi.

Cc Ummy mwalimu

Picha ninayo siwezi kuiweka humu
 
Yeye Ndo kasambaa Wala usiwasingizie watanzania ni mpumbavu SANA. Sugu alikuwa sahii kumwacha . Baadhi ya wanawake mbadilike mmmh.
 
Yyy ndo aliyoipiga hiyo picha ...?
 
huyo alipita kweli chuo cha habari..?
 
Picha apige mwenyewe Faiza kisha aweke kwa Page yake mwenyewe watu waje later na kufanya repost, Halafu wewe ndio utokwe na POVU ivi???????[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hapo sasa wakumlaumu mhusika mkuu faidha sio soudy
 
Hii tabia ya kipumbafu sana , mnadharirisha kada ya uzazi .. Kungun ww uliye mpiga pic
 
Yeye mwenyew kapenda picha yake kua reposted sasa ww inakuuma nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…