Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

577c226aba1cf57cfaad1ab2ea4235be.jpg

baada ya kupitia page yake ,naona akilalamika picha yake kuondolewa

huyu shemeji yangu hakika anahitaji msaada
 
Kuna picha zina sambaa mtandaoni zikimuonyesha Faiza Ally akiwa leba anajifungua uchi wa mnyama, kweli hizi picha huenda alizipiga kwa kupenda kwake huyu dada huwa namchukulia kama mentally challenged.

Nimeshtuka nakuogopa kuona Soudy umepost kwenye IG page yako bila kujali maelezo uliyayaambatanisha, angekuwa dada yako au mama yako ungeweza kufanya hivyo au ndio unatafuta umaarufu.

Kitendo hiki ni cha kishetani kinyume na maadili na pengine ni kinyume na sheria na nikikutana na wewe mtaani naweza kukuchukulia sheria mikononi.

Cc Ummy mwalimu

Picha ninayo siwezi kuiweka humu
 
Acha uwongo na promo za kijinga, nimeona hiyo picha wala sehemu za siri huwezi kuona kama unavyotamka hapa na isitoshe hata matiti hayaonekani ki hivyo, watanzania wengi mmekuwa wanafiki sana na mnapenda sana kutumia social media kusambaza umbea, inashangaza sana yaani umeaona kitu cha ajabu alafu unahamasisha watu nao wakione huu ni upumbavu
Yeye Ndo kasambaa Wala usiwasingizie watanzania ni mpumbavu SANA. Sugu alikuwa sahii kumwacha . Baadhi ya wanawake mbadilike mmmh.
 
Kuna picha zina sambaa mtandaoni zikimuonyesha faiza Ally akiwa leba anajifungua uchi wa mnyama kweli hizi picha huenda lizipiga kwa kupenda kwake huyu dada huwa namchukulia kama mentally challenged nimeshtuka nakuogopa kuona soudy umepost kwenye IG page yako bila kujali maelezo uliyayaambatanisha angekuwa fafa yako angekuwa dadayako au mama yako ungeweza kufanya hivyo au ndio unatafuta umaarufu kitendo hiki ni cha kishetani kinyume na maadili na pengine ni kinyume na sheria na nikikutana na wewe mtaani naweza kukuchukulia sheria mikononi cc Ummy mwalimu picha ninayo siwezi kuiweka humu
Yyy ndo aliyoipiga hiyo picha ...?
 
huyo alipita kweli chuo cha habari..?
 
Picha apige mwenyewe Faiza kisha aweke kwa Page yake mwenyewe watu waje later na kufanya repost, Halafu wewe ndio utokwe na POVU ivi???????[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hapo sasa wakumlaumu mhusika mkuu faidha sio soudy
 
Hii tabia ya kipumbafu sana , mnadharirisha kada ya uzazi .. Kungun ww uliye mpiga pic
 
Kuna picha zina sambaa mtandaoni zikimuonyesha faiza Ally akiwa leba anajifungua uchi wa mnyama kweli hizi picha huenda lizipiga kwa kupenda kwake huyu dada huwa namchukulia kama mentally challenged nimeshtuka nakuogopa kuona soudy umepost kwenye IG page yako bila kujali maelezo uliyayaambatanisha angekuwa fafa yako angekuwa dadayako au mama yako ungeweza kufanya hivyo au ndio unatafuta umaarufu kitendo hiki ni cha kishetani kinyume na maadili na pengine ni kinyume na sheria na nikikutana na wewe mtaani naweza kukuchukulia sheria mikononi cc Ummy mwalimu picha ninayo siwezi kuiweka humu
Yeye mwenyew kapenda picha yake kua reposted sasa ww inakuuma nn?
 
Back
Top Bottom