The Bourne
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 1,077
- 1,321
Wacha tuone kibumbu bhuanaHata ibilisi anatuogopa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha tuone kibumbu bhuanaHata ibilisi anatuogopa
![]()
baada ya kupitia page yake ,naona akilalamika picha yake kuondolewa
huyu shemeji yangu hakika anahitaji msaada
Hakupost yeye,picha ya kitambo hii,,
Yeye Ndo kasambaa Wala usiwasingizie watanzania ni mpumbavu SANA. Sugu alikuwa sahii kumwacha . Baadhi ya wanawake mbadilike mmmh.Acha uwongo na promo za kijinga, nimeona hiyo picha wala sehemu za siri huwezi kuona kama unavyotamka hapa na isitoshe hata matiti hayaonekani ki hivyo, watanzania wengi mmekuwa wanafiki sana na mnapenda sana kutumia social media kusambaza umbea, inashangaza sana yaani umeaona kitu cha ajabu alafu unahamasisha watu nao wakione huu ni upumbavu
Yyy ndo aliyoipiga hiyo picha ...?Kuna picha zina sambaa mtandaoni zikimuonyesha faiza Ally akiwa leba anajifungua uchi wa mnyama kweli hizi picha huenda lizipiga kwa kupenda kwake huyu dada huwa namchukulia kama mentally challenged nimeshtuka nakuogopa kuona soudy umepost kwenye IG page yako bila kujali maelezo uliyayaambatanisha angekuwa fafa yako angekuwa dadayako au mama yako ungeweza kufanya hivyo au ndio unatafuta umaarufu kitendo hiki ni cha kishetani kinyume na maadili na pengine ni kinyume na sheria na nikikutana na wewe mtaani naweza kukuchukulia sheria mikononi cc Ummy mwalimu picha ninayo siwezi kuiweka humu
Hapo sasa wakumlaumu mhusika mkuu faidha sio soudyPicha apige mwenyewe Faiza kisha aweke kwa Page yake mwenyewe watu waje later na kufanya repost, Halafu wewe ndio utokwe na POVU ivi???????[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Yeye mwenyew kapenda picha yake kua reposted sasa ww inakuuma nn?Kuna picha zina sambaa mtandaoni zikimuonyesha faiza Ally akiwa leba anajifungua uchi wa mnyama kweli hizi picha huenda lizipiga kwa kupenda kwake huyu dada huwa namchukulia kama mentally challenged nimeshtuka nakuogopa kuona soudy umepost kwenye IG page yako bila kujali maelezo uliyayaambatanisha angekuwa fafa yako angekuwa dadayako au mama yako ungeweza kufanya hivyo au ndio unatafuta umaarufu kitendo hiki ni cha kishetani kinyume na maadili na pengine ni kinyume na sheria na nikikutana na wewe mtaani naweza kukuchukulia sheria mikononi cc Ummy mwalimu picha ninayo siwezi kuiweka humu