Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

Kitumbua hakijaonekana linaonekana paji tu uso wa kitumbua.. ingependeza zaidi mumshauri apige ingine tuone kitumbua
 
Kuna kipindi anamtukana sugu weeee

Kuna kipindi anaposti kuwa anampenda

Mwezi ukiwa mchanga anamshambulia Happy demu.mpya wa sugu weeee


Na inawezekana sio stress za kuachwa.....ila labda sugu alikuwa anamcontrol na hakutaka upuuzi...na kwa kuwa alikuwa na expectation za kuwa mrs mbunge...mmiliki wa mimali ya sugu akawa anaficha makucha......
Sure..Kama anawadudu kichwani..Na kipindi cha nyuma hakuwa maarufu hivi..Hivi vituko ndo vinamemuweka kwenye midomo ya watu..Uenda ndo lengo lake
 
Hivi uyo mtoto siku akija kuwa waziri akajua kua alidhalilishwa hivo si atajiudhuru hata huo uongozi?
 
Amedhalilisha wamama wote aisee..those are private parts..halafu huyo mtoto kama ni kidume anakuja anaona private parts za mama ake kabisa....kama ni wa kike akijatembea amevaa bikini tu barabarani mama ake atasema nn?
Kuna wanawake wanalaana kabisa
 
huwa namwoneaga huruma sana mbunge wangu mbilinyi, huyu dada walishaachana kitambo ila kila kituko anachokifanya huyu dada hasa mitandaoni lazima wamlifae mh. mbilinyi! Ai kenti imagini Mh.mbilinyi anajisikiaje pindi anapoona jina lake linatajwa kwenye kituko cha huyo dada faiza!??
Kila kwenye mafanikio nyuma yake kuna mwanamke lakini pia kila kwenye machukizo na uharibifu nyuma yake kaa na mwanamke.
 
Back
Top Bottom