Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

Mbwimbwi limetuna balaa ivi yule binti yake anayesoma na huyo kijana akikua itakuaje ivi haki za mtoto zina semaje mh.sugu kwanini asimuokoe yule mtoto malezi gani haya yule mtoto atapata kwa mzazi mwehu hivi[emoji20]
 
Sidhan kama aliruhusu itakua amefanyiziwa nawatu wa sugu ili azid kuaibika hawez ruhusu kitu kama hii hapa nakataa
 
Tunapo mhudumia staa huwa tunapata wakati mgumu sana. Mara afanye hivi.......Mara vile..... Unaona baada ya domo kuvunja Sheria za barabarani...tulimwita ofisini na kumlipisha fain kisha ....twanga photo........

Hebu jaribu wewe Beira Baby Boy uone
 
Huyu dada syo mzima upstairs kwake!
Anataka kuwaaribia watu kazi

Ova
 
Nini cha ajabu hapo?

Kuzaa ama?

Kwani nyie wote mnaoshangaa mlizaliwaje? Na nyie ambao mshazaa mlizaaje kwani?

Kwani hapa Tanzania baadhi ya wanawake huwa hawaendi kwenye labor nyumbani, mitaani, na kwingineko kusiko spitalini?

Mimi nishawahi kumsaidia mdada mjamzito kujifungua mwanae nje kwenye parking lot ya grocery store kwa sababu that’s where her water broke and she needed help.

Hakuona aibu na wala sikuona ni kitu cha ajabu. Toka lini kitendo cha kuleta kiumbe hai kingine hapa duniani kionekane au kichukuliwe kama ni taboo?

Y’all need to change. This has nothing to do with Uzungu or whatever.

This is about life. A new life. And there’s nothing wrong with that.
Kuna ambaye hajui kuwa binadamu uwa anajisaidia haja kubwa?
Unaweza kupost picha ukiwa unajisaidia haja kubwa?
Kuna ambaye hajui kuwa binadamu wanajamiiana, je unaweza post picha ukiwa unajamiiana?
Kiumbe alicholeta watu walishakiona na wakampa pongezi, na kila mtu alijua kimepatikanaje hakukuwa na haja ya kupost picha hiyo...
 
Mzazi mwenzie na Sugu Motochini katika ubora wake. Uzungu nao changamoto kweli kweli.
Kapost katika page yake ya Instagram


huyu dada kwa mwaka anazaa mara ngapi kwani [emoji32] si juzi tuu nilisikia amezaa na mtt anampeleka klinikii!!!!!

mimba zake za miezi 3 au!!?[emoji20][emoji20]
 
Ww ndio uliwafungiaha hyo ndoa?huyo mtoto aliyejifungua na picha zake zimesambaa amezaa na Sugu?usijifanye hujui unamfahamu ulichomaanisha na kwile uko upande ule umeona ukimuingiza Sugu thread yako itapata like nyingi

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Wewe dada vp niko upande ule upi?

Wewe ndo mke wa sugu?

Mbona una nitolea povu mimi wakati mimi sii faiza wala sugu

Hili povu kamutolee sugu na faiza
Achana na mimi tafadhar

Mi nimeleta maada tu dada yangu

Mimi sio yule niliyepiga hii picha

Usinitolee povu mimi
 
Kwahiyo alitoa amri huku anajifungua kua apigwe picha!!!! Huyu kweli hakua Na uchungu.....
 
huyu dada kwa mwaka anazaa mara ngapi kwani [emoji32] si juzi tuu nilisikia amezaa na mtt anampeleka klinikii!!!!!

mimba zake za miezi 3 au!!?[emoji20][emoji20]
Mkuu kuzaa kazaa miezi hiyo mitatu iliyopita ila picha za kuzaa kapost leo mleta habari hakuandika habari kwa usahihi
 
Wewe dada vp niko upande ule upi?

Wewe ndo mke wa sugu?

Mbona una nitolea povu mimi wakati mimi sii faiza wala sugu

Hili povu kamutolee sugu na faiza
Achana na mimi tafadhar

Mi nimeleta maada tu dada yangu

Mimi sio yule niliyepiga hii picha

Usinitolee povu mimi
Povu unajitolea mwenyewe huwezi andika kuwa Faiza Ni mke wa sugu kitu ambacho unakifahamu si kweli hivyo kama hufahamu kitu kabla hujapost unatakiwa ujirishishe kwanza sio unaropoka tu
 
Back
Top Bottom