Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
"Wasanii mmeshuka sana aisee yaani hata wale ambao walikua wana heshima kidogo na nyie mmegeuka machawa but why ? Jamani njaa ya miezi michache isitoe heshima yako ya miaka yote" — Faiza Ally
Hapo Sugu katuma ela ya mtt ya kutosha ndo kupost hivyo. enewei ngoja tufocus na ujumbeHuyu baby mama wa Sugu haeleweki, wakipasha kiporo na Sugu yupo upande wa wananchi. Akifungiwa vioo ghafla yupo CCM anatuchanganya kujifanya yuko neutral..!!
Huyu sijui kaka yangu alimfanya nini 😹😹Hapo Sugu katuma ela ya mtt ya kutosha ndo kupost hivyo. enewei ngoja tufocus na ujumbe
Kawapa makavu live"Wasanii mmeshuka sana aisee yaani hata wale ambao walikua wana heshima kidogo na nyie mmegeuka machawa but why ? Jamani njaa ya miezi michache isitoe heshima yako ya miaka yote" — Faiza Ally
View attachment 3469658
Akikosa posho TU insta,,,,,,,,,,,,,, Usha msomaaaaaHuyu baby mama wa Sugu haeleweki, wakipasha kiporo na Sugu yupo upande wa wananchi. Akifungiwa vioo ghafla yupo CCM anatuchanganya kujifanya yuko neutral..!!
Mwanamke anahitaji Money & Inches. Huenda Sugu anavyo vyote.Huyu sijui kaka yangu alimfanya nini 😹😹
Faiza moyo wake upo kwa Sugu kashindwa kumove on..!!
Na yule mwingine naye yupo ndani lakini km kawehuka vile 🤣😹
Ila mkinga apunguze dose hawa wanawake watauana kuna siku..!!
Mambo yao tuwaachie wenyewe ausio!!!
😹😹 Sema wakinga wanavyo vyote 🤣Mwanamke anahitaji Money & Inches. Huenda Sugu anavyo vyote.
Wamebarikiwa😹😹 Sema wakinga wanavyo vyote 🤣
Huyu si alikuwa anasema SUGU alimfundisha MIXXX by YASSS labda bado anaikumbuka na kuitamani.Huyu sijui kaka yangu alimfanya nini 😹😹
Faiza moyo wake upo kwa Sugu kashindwa kumove on..!!
Na yule mwingine naye yupo ndani lakini km kawehuka vile 🤣😹
Ila mkinga apunguze dose hawa wanawake watauana kuna siku..!!
Wataanza kuwekewa vikwazo na kila siku watakuwa wanaitwa BASATA na kazi zao kuzuiwa kupigwa kwenye mainstream media.Kuna mda tunapotezaga nguvu kwa mambo yasio ya msingi!!! Kwani wasanii kuwa ccm kuna kifungu gani cha katiba wamevunja?? Na kwanin wapinzani na wao wasianzishe bend yao iwe inawambia??