Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
😹😹😹 Wanamsingizia kaka yangu..!!Huyu si alikuwa anasema SUGU alimfundisha MIXXX by YASSS labda bado anaikumbuka na kuitamani.
Wakinga hatuna michezo hiyo, wao wanapenda ule ugumu wake hip hop nyingi..!!
Labda wao ndo wamemfundisha si umeona mawifi wote mashangingi, wamecheza sana ndondo cup..!! Wauzaji wazuri 😹😹😹