๐น๐น๐น Wanamsingizia kaka yangu..!!Huyu si alikuwa anasema SUGU alimfundisha MIXXX by YASSS labda bado anaikumbuka na kuitamani.
Mimi nimenukuu tu kauli za bi mdash kuwa TAITA ni sewage treatment specialist, we can give it 50/50 chances then lakini mtu kujisingizia kuwa alikuwa anapakuliwa kisanvu I doubt it hivyo kuna uwezekano mkubwa ikawa ni kweli.๐น๐น๐น Wanamsingizia kaka yangu..!!
Wakinga hatuna michezo hiyo, wao wanapenda ule ugumu wake hip hop nyingi..!!
Labda wao ndo wamemfundisha si umeona mawifi wote mashangingi, wamecheza sana ndondo cup..!! Wauzaji wazuri ๐น๐น๐น
Kaongea point shida nikikumbuka alivaaga pampers nachoka kabisa"Wasanii mmeshuka sana aisee yaani hata wale ambao walikua wana heshima kidogo na nyie mmegeuka machawa but why ? Jamani njaa ya miezi michache isitoe heshima yako ya miaka yote" โ Faiza Ally
View attachment 3469658
Wake zake wote wauzaji na Sugu msela jela kawafumua ๐น๐นMimi nimenukuu tu kauli za bi mdash kuwa TAITA ni sewage treatment specialist, we can give it 50/50 chances then lakini mtu kujisingizia kuwa alikuwa anapakuliwa kisanvu I doubt it hivyo kuna uwezekano mkubwa ikawa ni kweli.
Sugu kakua makuzi ya kisela ya kimjinimjini hivyo mtoe kwenye traditional standards za makabila.
Hawa wote wanatizama maslahi yao wakiona yamekatika kule wanatafuta pakutokea, nampa heshima mtu aliyesimama upande hata siku akipoteza maslahi, hawa kina Mwijaku wamekatwa lakini bado wako na chama lao mimi sipendi mtu wa kuangalia upepo huna msimamo.Huyu baby mama wa Sugu haeleweki, wakipasha kiporo na Sugu yupo upande wa wananchi. Akifungiwa vioo ghafla yupo CCM anatuchanganya kujifanya yuko neutral..!!
Hapo tuko kwenye same page.Wake zake wote wauzaji na Sugu msela jela kawafumua ๐น๐น
Faiza km kavaa Pampers hadharani ndo ashindwe kusema kuliwa nyuma?!!
Wasanii na ndoa zao zina changamoto sana..!!
Sasa mwijaku hata akisusa atahamia wapi? ๐น๐นHawa wote wanatizama maslahi yao wakiona yamekatika kule wanatafuta pakutokea, nampa heshima mtu aliyesimama upande hata siku akipoteza maslahi, hawa kina Mwijaku wamekatwa lakini bado wako na chama lao mimi sipendi mtu wa kuangalia upepo huna msimamo.
Wasanii wote nahisi hawana malinda aisee!! Wake kwa waume sidhani ๐น๐น๐นHapo tuko kwenye same page.
Kisanvu cha kopo is a day to day delicacy kwa celebrities wetu.
Mwijaku atahamia wapi? umenifurahisha sana ila nampa heshima yake simama sehemu moja sio kurukaruka.Sasa mwijaku hata akisusa atahamia wapi? ๐น๐น
Lazima abaki huko huko CCM kule Chadema hawatoi pesa..!!
Faiza anajitoaga ufahamu sababu ya Sugu anamfungia vioo ila anapenda harakati..!
Bongo mtu ambaye sio mnafki na kaishinda tamaa ya pesa Tl peke yake.
Roma MkatolikiSasa mwijaku hata akisusa atahamia wapi? ๐น๐น
Lazima abaki huko huko CCM kule Chadema hawatoi pesa..!!
Faiza anajitoaga ufahamu sababu ya Sugu anamfungia vioo ila anapenda harakati..!
Bongo mtu ambaye sio mnafki na kaishinda tamaa ya pesa Tl peke yake.