Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

faiza kinachomwumiza ni mafanikio ya sugu , anaona kama mwanamke mwenzake kamnyang'anya tonge mdomoni.
 

Jmn binamu [emoji24][emoji24]usinikumbushe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Warumi[emoji114]Endelea kupumzika kwa Amani Binamu...
 
Unamuita mwenzako mgumba halafu anazaa mapacha wa kiume hahahaa... depression ni mbaya Sana faiza anahitaji msaada afya ya akili haiko sawa
 
Kwa vyovyote hadi sasa hajapata mwanaume wa kumtoa ule mkojo mfupi kma vile alifanya Taita, kwa akili ya kawaida haiwezekani mtu akawa chizi kiasi kile jana nilipata kuangalia mahojiano yake na wale wambeya aisee the lady is crazy!!!
 
Ukiona "Ex" wako anahangaika sana na wewe hata baada ya miaka mingi kupita basi fahamu kwamba bado anakupenda na anakuhitaji.

Kuna kila dalili Faiza Ally bado anampenda sana Sugu. Shida ni kwamba Sugu amekwisha move on na maisha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…