Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

Dada mkubwa huwa ana maneno utafikiri ana undugu na Dr Kumbuka. Huwa nammiss sana kwenye ubuyu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nazeeka siku hizi.
Usinichekeshe , binti yangu huwa anasema mama huu ubuyu unautoaga wapi na haya maneno.
Namwambia we tuuuliiiiaaa hii ndo castle light yangu!
Mwe tufurahi tu oddos wangu life ndo hii hii!
Miaka mingi humu na bado tunakumbukana kwa tabasamu, ah burdaani!
 
Nilikuja kushangaa kumbe alikuwa mwanaume. Mwanaume alikuwa na ubuyu yule. Mungu amrehemu
ah Warumi kiboko!
yule kibokooooooo!
Kuna siku alienda msibani kwa babake Wema , ili tu aje atuchambe asbh yake.
Sijui tulimbishia nini wallahi.
ah tulichambiiiika mbwa sisi!
AHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHA tusi lake kuu, mbwa nyinyi!'
 
Da Sophy was bad news. Mnakesha naye siku nzima yeye peke yake. Anakwambia "hainaga digirii, ladha ya chumvi ni ileile kwa aliye na digirii na asiye nayo'"

Enzi za akina marehemu Warumi, mrembo by nature, Kim nana; miss neddy n.k. Waje team mondi na team kiba sasa daah
haina digrii haina cheti.
ahahhahahahhahaha dah!
ah sisi tulikuwa wambea jamani!
 
Daah Mrs Mbilinyi alijua kupagusa penyewe jamani. Alifikiri mwenzie ana moyo wa chuma[emoji23][emoji23]
Vichaa kama wale ni kuwa mwehu zaidi yao.
Yani Faiza kuzaa na Sugu na Sugu kuoa mwanamke mwingine ni kama PASSPORT hivi ya kumbully anavotaka Happy!
Siku akiamua kumnaga miguu yake anamnangaaa weeeee, hata kama ipo kama jalo si yakeee.
Siku akiamua kubeza mahaba yake kwa mumewe , atananga weeeee amalize.
Siku akimwita sugu Kibamia aite weeeee, aridhike utafkr sicho alikuwa anakiwekea magadi anapata mlenda shwaaain nyauba yule.
So yeye ANAMILIKI HAKI ya kuwatreat HAPPY NA MUMEWE atakavyo, in the name of NDIO SIJAMOVE ON, ndio NATAKA KUZAA NAE TENA. NDIO NAMPENDA.

mwanamke yupi asingetumia silaha yoyote kumjeruhi na yeye?
Kwanza ashukuru Mungu huyo happy anamjeruhi na picha ya Rais wa nchi na maneno ya kumwita mwanae my daughter.
Mwingine angemfanya huyo mtoto kibaya zaidi anavyofikiria.
 
Warumi jamani...RIP
Kim nana nilimkuta mwishoni mwishoni huko[emoji1787]
Ila JF ya zamani jamani....kuna mambo nayamiss tu....Watu walikuwa na maneno[emoji28]Mweeeh!!!
Balaa kabisa!Ubuyu ukiletwa Sasa wee!![emoji16][emoji16][emoji16]warumi jeshi la mtu Mmoja(RIP)naangaliaga picha za mwisho siku ya msiba naumiaga Sana!
Mungu amuweke pahala pema
Nifah sijui yuwapi siku hizi
 
Vichaa kama wale ni kuwa mwehu zaidi yao.
Yani Faiza kuzaa na Sugu na Sugu kuoa mwanamke mwingine ni kama PASSPORT hivi ya kumbully anavotaka Happy!
Siku akiamua kumnaga miguu yake anamnangaaa weeeee, hata kama ipo kama jalo si yakeee.
Siku akiamua kubeza mahaba yake kwa mumewe , atananga weeeee amalize.
Siku akimwita sugu Kibamia aite weeeee, aridhike utafkr sicho alikuwa anakiwekea magadi anapata mlenda shwaaain nyauba yule.
So yeye ANAMILIKI HAKI ya kuwatreat HAPPY NA MUMEWE atakavyo, in the name of NDIO SIJAMOVE ON, ndio NATAKA KUZAA NAE TENA. NDIO NAMPENDA.

mwanamke yupi asingetumia silaha yoyote kumjeruhi na yeye?
Kwanza ashukuru Mungu huyo happy anamjeruhi na picha ya Rais wa nchi na maneno ya kumwita mwanae my daughter.
Mwingine angemfanya huyo mtoto kibaya zaidi anavyofikiria.
Eeh unakuwa mwehu kwa siku moja, then maisha yanaendelea. Kujifanya St Theresa Kila siku, utakuja ulishwe nnya huku unaangalia
 
ah Warumi kiboko!
yule kibokooooooo!
Kuna siku alienda msibani kwa babake Wema , ili tu aje atuchambe asbh yake.
Sijui tulimbishia nini wallahi.
ah tulichambiiiika mbwa sisi!
AHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHA tusi lake kuu, mbwa nyinyi!'
Na ya kwenda kulala msibani kwa marehemu Kuambiana ili tu kutukusanyia ubuyu. Apumzike kwa amani binamu yetu
 
Mimi huwa namuonea huruma Sugu alizaa na mwendawazimu.
Ndio maana wanasema wanaume wanapokuwa wanatafuta wanawake wawe wanawafikiria na watoto wao kwasababu ya mambo kama haya.

Sasa hapo Sugu atakwenda na hii nuksi maisha yake yote. Huyu mtoto na watoto wake wataharibiwa akili na huyu dada maana sio mama ni takataka.
 
Mwanamke akikupenda AF akakupoteza yuko radhi afanye chochote hata kibaya lakini sio aone mwanamke mwingine anafaidi penzi lako. Sasa Faiza alijua akimuacha sugu jamaa atapoteana lakini anavyokuja kushangaa Mwamba Jongwe akiendelea kupeleka moto chini na mambo yakimnyookea kinamuuma sana na hata ile event yake ambayo mpk rais alitimba nadhani ile imeenda kulabua kitu kizito sana kwa Faiza ndo maana unaona kelele zote
Hakuna mapenzi hapo. Faiza anataka pesa tu kwa sugu kwasababu kipindi anazinguana na sugu hakuwa hivi alivyo leo ukiacha umaarufu. Ila sasa hivi ana uwezo na fedha na pia ana mtoto nae.

So ulitegemea atajiskia vizuri kuona mwanamke mwingine amechaguliwa badala ya yeye kuzingua?!

Hakuna mapenzi hapo ni wizi, tamaa na udangaji tu.
 
Kuna mwanamke nimezaa nae drama zake kama za Faiza tena ana matusi hatari,kuna walati mtt alikuwa kwangu kwenye michezo michezo yao watt akajeruhiwa kidogo hayo maneno yake sasa,kutokana na maneno yake sikutaka tena mtt aje kwangu
Ukishaona binti anapanic za ajabu ajabu mkalie mbali.
 
Back
Top Bottom