Faiza Ally na kashfa ya utapeli

Kama hujui experience za biashara hivi vitu utashadadia...ni.changamoto tu hizi..mm aliniagizia kimashine changu kikafika....!
Mrs Lissu sikupingi ila huyu changamoto zake zimezidi. Wanaomlilia ni wengi sana. Sio hali ya kawaida. Angalau katika watu 100 changamoto ingetokea kwa watatu au wanne ila huyu ni wengi mno.
 
Kuna ex wangu alijiingiza kwenye hii biashara ya kuwaagizia watu vitu akaishia kutapeliwa. Na yeye sasa hivi anadaiwa zaidi ya Tsh 5m na watu mbalimbali. Anajuta. Nimesikitika sana ila siwezi kumsaidia kwasababu aliniacha akaenda kuolewa na MSUKUMA. Ilikuwa ni dharau isiyovumilika.
 
Msukuma alikupolaaa mke[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Duh

Ova
 
Kumbe uliporwa [emoji1]

Ova
 
ndiyo mafunzo ya maisha hayo, hakuna kutumia fedha ovyo ovyo, kila senti inahesabika.
 
Bongo mataahira wengi sana, dunia hii bado unaagiziwa mzigo na mtu kama faiza?
Jamani msiwalaumu,watu wote wafuate mzigo china?
Kumbuka watu wengi hawana exposure , mwingine hata hajui anaanzia wapi!
Hata hivyo mwanzo watu walimsifia alikuwa analeta mzigo vzr tu, sijui sshv kakutwa na nn, may be ndo ups n down za bness
 
kuna sisi hapa, wazee wa kuorder kwa wajasi wa IG.
Mie sikomi… siku nikipigwa ndio nitashtuka. Ila kwa sasa, na kuorder bidhaa kuendelee 😁
Hehehe kuna day niliona insight ya mkaka mmoja anauza iphones tukafika mpk negotiation nikamwambia nitakutumia hela then ww nitumie huo mzigo hehehe after few days nikakuta 'user not found' sijui aliniblock au aliifuta hio account

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ haoo ningetuma hela ningelia
 
Hiyo biashara ya kuagizia watu vitu China haitakiwi kufanywa na maskini kwasababu mchina akizingua kidogo tu huwa ni janga kwa mwagizaji na mteja wake. Ikifanywa na mtu mwenye uwezo wake ni rahisi kufidia na pia mtu ambaye hana njaa ni ngumu kuingia tamaa za kifala kuzungusha kwanza hela ya mteja kwenye ishu zake binafsi. Hao kina Faiza wanachofanya ni kutumia hela za watu kuzungusha kwenye biashara zao kwanza ndo maana mizigo inachukua hadi miezi 4 haijafika. Na wengine hela hiyohiyo atataka afanye show off. Nadhani mtu kama Salaah na wababe wengine ndo wanastahili kufanya hiyo biashara sio hawa makapuku kina Faiza na wahuni wengine.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]why msukuma daahhh....nimecheka sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…